Mchezaji Gani Msimu Huu Ametisha Sana Ligi Kuu?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
278
395
25
Tumeona wachezaji wengi sana na wenye vipaji vya kutosha sana. Katik timu ambayo unaishabikia itaje kisha tuambie mchezaji gani ametisha sana katika timu hiyo ambayo unaishabikia?
 
  • Like
Reactions: Gabry Thomas

T J

Mpiga Chabo
May 15, 2024
5
0
0
Binafsi nampa point feisal, licha ya timbwili lake na waajiri wake wa zamani. Wengi walijua atapotea lkn kafanya na anafanya poa sana, me naenda na mtanzania mwenzangu, FEISAL
 
yessmuda

Mpiga Chabo
May 16, 2024
2
0
0
Tumeona wachezaji wengi sana na wenye vipaji vya kutosha sana. Katik timu ambayo unaishabikia itaje kisha tuambie mchezaji gani ametisha sana katika timu hiyo ambayo unaishabikia?
Ukimuangalia balua kachez Kwa mda mchach lkn makubw kayafany angepat nafas tok mwanz naamin angeonesh makubw zaid
 
Jonte_24

Mpiga Chabo
May 16, 2024
1
0
0
Mi ni shabiki wa simba lakini kwa msimu huu Aziz stephane ki amefanya mambo makubwa sana bila shaka ndie MVP wa sasa hapa bongo