Ni ukweli usio wazi kuwa klabu zote mbili yaani Simba na Yanga zimefanya usajili mkubwa tu katika vikosi vyao kwa kuzingatia marekebisho ya baadhi ya maeneo ndani ya vikosi vyao. NINA SWALI MOJA mwana KIJIWENI
Mchezaji Gani Wa YANGA Anaweza Kuanza Kikosi Cha Kwanza SIMBA? Na Mchezaji Gani Wa SIMBA Anaweza Kuanza Kikosi Cha Kwanza YANGA?
Mchezaji Gani Wa YANGA Anaweza Kuanza Kikosi Cha Kwanza SIMBA? Na Mchezaji Gani Wa SIMBA Anaweza Kuanza Kikosi Cha Kwanza YANGA?