Mchezaji Gani Wa YANGA Anaweza Kuanza Kikosi Cha Kwanza SIMBA? Na Mchezaji Gani Wa SIMBA Anaweza Kuanza Kikosi Cha Kwanza YANGA?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
489
643
125
Ni ukweli usio wazi kuwa klabu zote mbili yaani Simba na Yanga zimefanya usajili mkubwa tu katika vikosi vyao kwa kuzingatia marekebisho ya baadhi ya maeneo ndani ya vikosi vyao. NINA SWALI MOJA mwana KIJIWENI

Mchezaji Gani Wa YANGA Anaweza Kuanza Kikosi Cha Kwanza SIMBA? Na Mchezaji Gani Wa SIMBA Anaweza Kuanza Kikosi Cha Kwanza YANGA?
 
Jr…3

Mpiga Chabo
Jul 10, 2024
4
0

Kwa simba,wachezaji wote wa yanga wanaanza …ilaaa kwa yanga labda wachezajii wa simba waanzie benchii wote
 
Sugar

Mpiga Chabo
Sep 1, 2024
1
0
0
Doctor Khalid Aucho the tank ginger maestro .. anaanza katika kikosi cha simba miaka buku labda akatae mwenyewe tu kuanza
 
Prince Jr

Mpiga Chabo
Sep 1, 2024
2
0
0
Ni ukweli usio wazi kuwa klabu zote mbili yaani Simba na Yanga zimefanya usajili mkubwa tu katika vikosi vyao kwa kuzingatia marekebisho ya baadhi ya maeneo ndani ya vikosi vyao. NINA SWALI MOJA mwana KIJIWENI

Mchezaji Gani Wa YANGA Anaweza Kuanza Kikosi Cha Kwanza SIMBA? Na Mchezaji Gani Wa SIMBA Anaweza Kuanza Kikosi Cha Kwanza YANGA?
Joshua Mutale na Debra Fernandez nan wakuwachalenge pale uto
 
Imma MK

Mgeni
May 2, 2024
16
5
5
The Fact is👇
Diara
Bacca
Khalid
Max
Pacome
Dube
Yako

Air Manula
Tshabalala
Che Malone
Mavambo
Ahoua
Ateba
SGR
 
KLOPPKILLETE

Mgeni
Sep 1, 2024
3
1
5
Ni ukweli usio wazi kuwa klabu zote mbili yaani Simba na Yanga zimefanya usajili mkubwa tu katika vikosi vyao kwa kuzingatia marekebisho ya baadhi ya maeneo ndani ya vikosi vyao. NINA SWALI MOJA mwana KIJIWENI

Mchezaji Gani Wa YANGA Anaweza Kuanza Kikosi Cha Kwanza SIMBA? Na Mchezaji Gani Wa SIMBA Anaweza Kuanza Kikosi Cha Kwanza YANGA?
Simba sports pale
1. Camara
2. Yao
3. Tshabalala
4.fondo che malon
5. Bacca
6. Aucho Khalid
7. Nzengeli
8. deborah Fernandez
9. Mzize
10. Pacome
11. Balua

Tutake tusitake hao ndo watapata namba pale Simba na ndo wakali sana.

Mimi Simba ila yanga Ile hatari bhana 😂
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

damas

Mgeni
Sep 1, 2024
3
2
5
Ni ukweli usio wazi kuwa klabu zote mbili yaani Simba na Yanga zimefanya usajili mkubwa tu katika vikosi vyao kwa kuzingatia marekebisho ya baadhi ya maeneo ndani ya vikosi vyao. NINA SWALI MOJA mwana KIJIWENI

Mchezaji Gani Wa YANGA Anaweza Kuanza Kikosi Cha Kwanza SIMBA? Na Mchezaji Gani Wa SIMBA Anaweza Kuanza Kikosi Cha Kwanza YANGA?
Hamna

DIARRA
YAO
BOKA
BACCA
JOB
AUCHO
MAX
MUDATHIR
DUBE
AZIZ KI
PACOM

NA HAMNA HATA MMOJA ANAYEWEZA KUKAA SUB
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

Jr 097

Mgeni
Jun 21, 2024
11
4
5
Ni ukweli usio wazi kuwa klabu zote mbili yaani Simba na Yanga zimefanya usajili mkubwa tu katika vikosi vyao kwa kuzingatia marekebisho ya baadhi ya maeneo ndani ya vikosi vyao. NINA SWALI MOJA mwana KIJIWENI

Mchezaji Gani Wa YANGA Anaweza Kuanza Kikosi Cha Kwanza SIMBA? Na Mchezaji Gani Wa SIMBA Anaweza Kuanza Kikosi Cha Kwanza YANGA?
Spider PinPin Camara
Yao kwasi
Mo hussein
Bacca Ibrah
Che Malone Fondoh
Khalid Aucho
Max Nzegeli
Maestro Debrah Fernandez Mavambo
Lionel Ateba
Prince Dube
Joshua SGR Mutale

Subs
Aziz Ki, Diarra, Kijili, Ahoua, Boka, Job, Okejeph

Leta kikosi chako ukishinda nakurudshia pesa za usajili
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

damas

Mgeni
Sep 1, 2024
3
2
5
Spider PinPin Camara
Yao kwasi
Mo hussein
Bacca Ibrah
Che Malone Fondoh
Khalid Aucho
Max Nzegeli
Maestro Debrah Fernandez Mavambo
Lionel Ateba
Prince Dube
Joshua SGR Mutale

Subs
Aziz Ki, Diarra, Kijili, Ahoua, Boka, Job, Okejeph

Leta kikosi chako ukishinda mutale over mzinze , pacom, aziz ki🤣🤣
 
  • Like
Reactions: Kijiweni