Mfungieni na Kaduguda aliyesema Mangungu hajawahi kuongoza hata Kata vinginevyo mtaonekana waoga

DeviMitupio

Mgeni
May 27, 2024
9
4
5
Sawa nyie wajanja mnaendelea kunyamazisha mashabiki na wanachama kwa kutoa maoni yao, Mimi ningekuwa Dr.Mohamed ningekwenda mahakamani kuomba tafsiri ya kisheria ya ibara ya 18 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo inanipa uhuru WA kutoa maoni yangu, kutoa maoni ni inherent power.

Mbona Kaduguda kasema Kuna viongozi miongoni mwenu hata kata hajawahi kuongoza na hamjamfanya kitu?

Mbona CPA wa mchongo kamshambulia tajiri kinyume cha maadili ya uongozi hamjamchukulia hatua zozote.Yaani mtu kaitisha press has na kumshambulia mwekezaji halafu nyie mmechukulia poa tu.
 
Area 51

Mpiga Chabo
Jun 16, 2024
1
0
0
Sema nn simba ikirud kwny pira birian admin utakosa soko maan sahv unapata soko kupitia mgongo wa simba sc
Huna story zingine kbsaa📶♻️
 
Makoye Malonja

Mpiga Chabo
May 15, 2024
8
0
0
32
Geita
Sawa nyie wajanja mnaendelea kunyamazisha mashabiki na wanachama kwa kutoa maoni yao, Mimi ningekuwa Dr.Mohamed ningekwenda mahakamani kuomba tafsiri ya kisheria ya ibara ya 18 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo inanipa uhuru WA kutoa maoni yangu, kutoa maoni ni inherent power.

Mbona Kaduguda kasema Kuna viongozi miongoni mwenu hata kata hajawahi kuongoza na hamjamfanya kitu?

Mbona CPA wa mchongo kamshambulia tajiri kinyume cha maadili ya uongozi hamjamchukulia hatua zozote.Yaani mtu kaitisha press has na kumshambulia mwekezaji halafu nyie mmechukulia poa tu.
🤣🤣🤣 Mbona kama kunawatu mnajal xana migogoro ya Simba sc? Na hamkumbuki kipindi cha bakuri🤫🤫 Good time sun inakuja Kwa mwendo 💪🏇