Sawa nyie wajanja mnaendelea kunyamazisha mashabiki na wanachama kwa kutoa maoni yao, Mimi ningekuwa Dr.Mohamed ningekwenda mahakamani kuomba tafsiri ya kisheria ya ibara ya 18 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo inanipa uhuru WA kutoa maoni yangu, kutoa maoni ni inherent power.
Mbona Kaduguda kasema Kuna viongozi miongoni mwenu hata kata hajawahi kuongoza na hamjamfanya kitu?
Mbona CPA wa mchongo kamshambulia tajiri kinyume cha maadili ya uongozi hamjamchukulia hatua zozote.Yaani mtu kaitisha press has na kumshambulia mwekezaji halafu nyie mmechukulia poa tu.