Pambano kati ya Mtanzania, Hassan Mwakinyo dhidi ya Patrick Allotey la kuwania Ubingwa wa Afrika mkanda wa WBO halijafanyika kwasababu mwakilishi wa WBO Afrika, SAMIR CAPTAN hakufika ulingoni.
Inawezekana HASSAN MWAKINYO asiaminiwe tena na mashabiki zake, inawezekana kuna mchezo unafanyika, inawezekana nikweli WAMEKOSA DOLA na hela zakumpa MAIN REFAREE? LAkini inawezekana ni mtihani mkubwa sana kwenye CAREER yake kama Bondia
Hassan Mwakinyo unaweza usiwe tatizo lakini kuhusika kwenye mambo yenye matatizo mara kwa mara automatically na wewe unakua tatizo. Linalo chafuka ni jina lako, promota au watu wa nyuma ya pazia ni wa mwisho kabisa kufikiwa.