MWAKINYO Anatuzingua Wapenda NGUMI?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
281
396
25
Pambano kati ya Mtanzania, Hassan Mwakinyo dhidi ya Patrick Allotey la kuwania Ubingwa wa Afrika mkanda wa WBO halijafanyika kwasababu mwakilishi wa WBO Afrika, SAMIR CAPTAN hakufika ulingoni.


Inawezekana HASSAN MWAKINYO asiaminiwe tena na mashabiki zake, inawezekana kuna mchezo unafanyika, inawezekana nikweli WAMEKOSA DOLA na hela zakumpa MAIN REFAREE? LAkini inawezekana ni mtihani mkubwa sana kwenye CAREER yake kama Bondia

Hassan Mwakinyo unaweza usiwe tatizo lakini kuhusika kwenye mambo yenye matatizo mara kwa mara automatically na wewe unakua tatizo. Linalo chafuka ni jina lako, promota au watu wa nyuma ya pazia ni wa mwisho kabisa kufikiwa.
 

T J

Mpiga Chabo
May 15, 2024
5
0
0
Watu waliopo nae kwenye jambo hili, naona kama hawatoshi kwa mshkaji, ukiwa na watu sahihi hasa kwenye mambo kama haya, sio rahisi kuona upuuzi kama huu, jamaa pia ajitazame kwa namna nyingine kama mfanya biashara, game ya sasa inahitaji watu smart sana kuendea jambo kama hao watu hana hizi kesi zitakuwa nyingi kwake, zitamharibia na kupoteza ushawishi kwa mashabiki. Mwisho atakua malkia wa mipasho kutoka tanga 😎
 

Josemoses

Mpiga Chabo
Jun 1, 2024
1
0
0
Kiukwel mwakinyo alitakiwa kutuheshimisha na sio kuangalia nani kaja nani ajaja kiukweli siwezi toa tena pesa yangu kwenda tena mipambano ya mwakinyo😡😡😡
 
Jun 1, 2024
5
2
5
Mwakinyo jamaa mizinguo sana ndo shida ya watu wa tanga mimi huwa sijawahi kuwaamini hata kidogo mambo yao ya upishi na kuudha urojo ndo vitu wanavyoviweza huku kwenye ngumi waachie wakina kiduku
 

NgoshaJr Tz

Mpiga Chabo
Jun 1, 2024
1
0
0
Mzinguaji tyu huyu hana lolote watu tunaacha kusinzia na mishe zeetu kwenda kushabikia kumbe anachola si aache ngumi auze hata vijora hapo tanga
 

Lukman Ali

Mgeni
May 17, 2024
5
3
5
Huu mpambano ulishavumishiwa kama hautakuwepo lkn wenyewe wakasema kuwa mpambano upo kama kawaida mi nahisi nimpango maalum wa watu kupiga hela tuu
 

GODLISTEN

Mpiga Chabo
May 18, 2024
3
0
0
Daresalaam
Jana kanikela sana nmetoka kijijini nkaenda mjini kuangalia game then hajapigana amenilaza banda la video mimi mwakinyo Lazma atalipia mjinga huyu