Simba SC ni timu ambayo imeshajijengea jina kubwa barani Afrika hivyo ukubwa huo unatakiwa kuonekana kwenye kila mashindano inayoshiriki.
Kuna wachezaji ambao hawastahili kuanza kwenye first eleven ya mwalimu, baadhi ya wachezaji hao ni;
Balua,Shomari Kapombe: ( amekuwa uchochoro wa adui kupita),
Ahoua: ( huyu mvp wa Ivory coast nahisi tulipigwa ni mvivu halafu ubunifu ni mdogo sana)
Mutale: ( huyo ni Saidoo aliyechangamka, papara nyingi halafu zero output).
Kwa kuwa matokeo ya uwanja wa mkapa marudiano ni kufa na kupona: kivyovyote vile simba itatakiwa ifunge magoli ili kusonga mbele hivyo nitashauri kuanza na double strikers (10. Ateba, 9. Mukwala)
Ateba atacheza kama 10 ili kuongeza nguvu ya viungo wengi katika mechi hiyo huku nyuma yake watakuwepo viungo wawili (6. Yusuphu Kagoma, 8. Deborah Fernandez)
Formation ya 4:4:1:1
Hapo mwarabu anapigiwa mchaka mchaka mwanzo wa mchezo hadi mwisho wa mchezo.
View attachment 1558