Kufungwa na Yanga katika mechi ya jana tena katika mazingira ya kufungwa yalivyokuwa kunahitaji kuwape hasira wachezaji, benchi la ufundi na viongozi. Hilo ndiyo jambo la kwanza ambalo inabidi wahusika waondoke nalo.
Baada ya hapo yanabaki mambo matatu tu:
1. Kwanza kuhakikisha mnacheza kwa hasira na intensity ile ile ya jana kwa kila mchezo, kuhakikisha Simba haipotezi tena point hata moja, iwe isiwe.
2. Kuanza mipango na mikakati ya kumfunga Yanga katika mechi ya marudiano. Huyo ndiyo mshindani namba moja kwa ubingwa, Simba ikigawana point 3-3 na Yanga nafasi ya ubingwa bado ipo.
3. Kufunga magoli mengi inavyowezekana katika kila mechi iliyo mbele. Bingwa anaweza kupatikana kwa tofauti ya idadi ya magoli. Timu iongeze hamu ya magoli kwa dakika zote 90, iache kuridhika inapokuwa inaongoza.
Kuhusu Yanga kudondosha point, hilo wachezaji waliondoe kichwani. Chezeni mechi zenu jambo lililo ndani ya uwezo wenu, yaliyo nje ya uwezo wenu achaneni nayo.