Pamoja na mapungufu na ukaidi aliounesha…Mchango wa Fei bado unahitajika Yanga..Zile kelele, laana, manung’uniko, lawama kwa viongozi et al ambazo ziliibuka baada ya uamuzi wa Fei ni kwa sababu tunamhitaji na ana mchango mkubwa kwetu Yanga.
Fei kachangia sisi kushinda Kombe la ASFC mwaka jana…
Kachangia kushinda Ubingwa wa Ligi na bado msimu huu ana assist 2 na magoli 6…..
Angekuwa ni Moloko au Yusuf Athuman amefanya kitendo alichofanya Fei sidhani kama kelele, manung’uniko, laana za mashabiki na malalamiko dhidi ya viongozi vingetokea.
Kama kijana kaamua kurejea nyumbani, tumpokee, tumsamehe then tuishi nae, maisha yaendelee…