Nyota wa Manchester United, Marcus Rashford amefunga katika mechi 5 mfululizo kwenye uwanja wa Old Trafford na ana mabao mengi zaidi ya aliyokuwa nayo msimu wote uliopita.
Msimu uliopita alifunga Mabak matano pekee.