Vini kilichomponza ni kauli zake kuwa Spain hastahili kuwa mmoja wa waandaaji wa WC 2030 kwa sababu za tabia za kibaguzi. Sasa klabu ilitoa msimamo kuwa hayo ni maoni yake na kauli za Vini ziliwakera Wahispania wakaona dogo anataka kutuharibia ugali wetu. Nahisi watu wa Ulaya walipiga kampeni za chinichini asibebe tuzo