Sakata la Fei linazidi kuleta mvurugano

Lukac

Mgeni
Nov 4, 2022
120
83
5
Siungi mkono hatua anazochukua Fei, maana sio sahihi ana complicate mambo.

Ila pia siungi mkono namna ambavyo club imeamu kukaza shingo kwenye hili suala.. Labda kama kuna maslahi ambayo club inategemea kuyapata toka kwa Fei otherwise naona tunapoteza credibility tu kwa kuendelea kusumbua na mtu ambae hatukumpa thamani iliyostahili kipindi tupo nae.

Binafsi naamin Fei ana thamani zaidi ya hii tuliyompa ndo maana naona yuko sahihi anapoamua kupambania thamani yake kwa gharama yoyote ile., I like the Spirit.,. Methods tu anazotumia ndo kidogo zinauzi.

1678104349846.png
 

jamal

Mgeni
Nov 4, 2022
148
90
5
Siitetei club, lakini, thamani ya mchezaji inapimwaje? Kuna wachezaji duniani wanalipwa pesa nyingi (ukilinganisha na wenza) lakini wanaona hawathamini na club. Ishu ya maslahi yake binafsi tusiilihganishe na thamani yake. Kama imani ya benchi la ufundi alikuwa nayo kubwa (nadhani kipimo sahihi zaidi cha kuthamini mchango wa mchezaji), issue ya maslahi ni makubaliano ya Kimkataba.
 

Nabi

Mgeni
Nov 4, 2022
121
124
5
Yanga wana kosa gani kuhusu Feisal? Hivi mnajua viongozi wameshii mara ngapi Feisal arudi klabuni kuyamaliza na amegona mara zote? Mnataka Club wavuke maji na kwenda Zanzibar kumpigia magoti? mnailamu klabu kwa vitu ambavyo hamvifahamu.
 

Kriss

Mgeni
Nov 4, 2022
102
138
5
Taasisi haingozwi kwa MOYO inaongozwa kwa AKILI. Maamuzi ya leo yanatengeneza hadidu za rejea za maamuzi ya mbele.

Wewe siku ukipewa uongozi YANGA itapata hasara na hakuna mchezaji ataheshimu CLUB.

Wewe hata kuongoza hili TAWI hufai.
 

Zaka

Mgeni
Dec 13, 2022
43
27
5
Naam na Hio shida nadhani mnaweza kuimaliza kwa kusema mnataka nin ili Fei aondoke., muache tu kusema kua Fei ni mali yenu arudi camp., Fei anataka kuondoka na kama team they should let him Go mana hataki tena kuchezea kwenu labda afe,. So sisi muweke Mezani mnachotaka ili kuruhusu mchezaji kuvunja mkataba then wakifika dau basi mmalize hizi kilele mana zinachosha.
 

Clara

Mgeni
Dec 13, 2022
20
6
5
Mkataba wa timu na mchezaji ni mkataba wa ajira ukiachana tofauti kadhaa, hata katika mkataba wa kawaida tu wa ajira duniani na hapa Tanzania mfanyakazi akiacha kazi bila kufuata utaratibu mahakama huwa haimlazimishi mfanyakazi kurudi kazini (specific performance), bali inampa inamlipisha fidia tu. Ukishalazimisha mtu kumfanyia kazi mtu mwingine hiyo inakuwa forced labour au infringement of freedom ya mchezaji.
Kingine hii ni aina ya mikataba ambayo inafanya mtu mmoja kuwa chini ya usimamizi wa mtu mwingine hivyo ni lazima ahiyari kama anavunja mkataba remedies za fidia na sanctions ndiyo appropriate. Chukulia mfano Feitoto akarudi
Yanga lazima kwa yanaliyotokea atakutana na maboss wenye kinyongo na hataishi kwa amani hivyo mbali na kanuni hiyo 17 ya kanuni za FIFA za hadhi za wachezaji uamuzi huo wa TFF unapingana hata na normal logic and commonsense.
 

Bangala

Mgeni
Dec 13, 2022
39
24
5
Kwa hyo kashakubali kua bado mchezaji halali wa yanga na ndio mna anataka kuvunja mkataba ,,,, kumbe siku zoote anatusumbua kumbe ukweli anaujua Sasa yanga wanakutaka hawapo tayari kuvunja mkataba na utalipwa staiki zako Kama mchezaji halali
 

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Yanga kwa sasa hatumihitaji Feisal kiwanjani hata kidogo maana yeye mwenywe ameshonyesha nia ya kutukataa..tunachotaka ni kutoa Funzo kwa wachezaji wengine namna ya kumalizana na timu ili isijirudie..Yanga ni timu kubwa sana hawawezi kuendeshwa kiholela..sheria na huruma ni vitu viwili tofauti..Sheria ifate mkondo wake..Daima Mbel