Siungi mkono hatua anazochukua Fei, maana sio sahihi ana complicate mambo.
Ila pia siungi mkono namna ambavyo club imeamu kukaza shingo kwenye hili suala.. Labda kama kuna maslahi ambayo club inategemea kuyapata toka kwa Fei otherwise naona tunapoteza credibility tu kwa kuendelea kusumbua na mtu ambae hatukumpa thamani iliyostahili kipindi tupo nae.
Binafsi naamin Fei ana thamani zaidi ya hii tuliyompa ndo maana naona yuko sahihi anapoamua kupambania thamani yake kwa gharama yoyote ile., I like the Spirit.,. Methods tu anazotumia ndo kidogo zinauzi.