Sema kuna namna flani sahiv matapeli wamepungua eenh? au wamevumbua njia mpya??

Oderoy

Mgeni
Jun 23, 2024
1
1
5
Matapeli bado wapo kazini Tena wengi tu. Sema wamebadilisha njia za kufanyia utapeli saiv wako wengi mno online platforms. Kwa mfano wafanya biashara za mtandaoni, wanaodai kuuza bidhaa Bora kw bei rahis mf electronic devices mf simu n.k, na bidhaa zingine, hususan wanaodai kutuma mikoani.
Ushauri wangu.. hakun kitu rahisi Wala njia fupi sku zote, fata protocol ya kupata huduma mf fika dukan mwenyewe
 
  • Like
Reactions: KADUGA