Sheria Gani Kwenye Mchezo Huu Lazima Utaikuta Popote Pale Ukienda Kucheza Mpira Wa SODO?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
489
643
125
Mambo vipi mwana Kijiweni?
Hakuna ambaye hajawahi kucheza Mchezo huu wa Mpira Wa miguu wa makaratasi

Kama umekua ni miongoni mwa waliocheza Mchezo huu Kuna Sheria nyingi zaidi huwa zipo kuanzia tuko Utotoni mpaka sasa ni watu wazima wengine lakini huwa wanacheza.

Sheria Gani Kwenye Mchezo Huu Lazima Utaikuta Popote Pale Ukienda Kucheza Mpira Wa SODO?
 
Technician inc

Mpiga Chabo
Sep 5, 2024
2
0
0
Kama ni mgeni no kiherehere man utasugua bench
Na mwenye mpira ni mwamposa baba wa upako
Mambo vipi mwana Kijiweni?
Hakuna ambaye hajawahi kucheza Mchezo huu wa Mpira Wa miguu wa makaratasi

Kama umekua ni miongoni mwa waliocheza Mchezo huu Kuna Sheria nyingi zaidi huwa zipo kuanzia tuko Utotoni mpaka sasa ni watu wazima wengine lakini huwa wanacheza.

Sheria Gani Kwenye Mchezo Huu Lazima Utaikuta Popote Pale Ukienda Kucheza Mpira Wa SODO?
 
shaiba

Mpiga Chabo
Oct 30, 2024
1
0
0
Mnajichunga msimkolofishe mwenye mpira mkimkorofisha tu bas anaondoka na mpira wake
Mambo vipi mwana Kijiweni?
Hakuna ambaye hajawahi kucheza Mchezo huu wa Mpira Wa miguu wa makaratasi

Kama umekua ni miongoni mwa waliocheza Mchezo huu Kuna Sheria nyingi zaidi huwa zipo kuanzia tuko Utotoni mpaka sasa ni watu wazima wengine lakini huwa wanacheza.

Sheria Gani Kwenye Mchezo Huu Lazima Utaikuta Popote Pale Ukienda Kucheza Mpira Wa SODO?
 
Pet.daudi

Mgeni
Oct 19, 2024
10
4
5
.Amna kuchezea viatuuu
. mwenye mpiraa akiitwa mpira umeisha
.Kona tatu penat
. mwenye mpiraa ndoo refa,kocha pia anacheza
Ila yeye akicheza faulo sio

NB: Mwenye mpira akikuomba Kitu chochote mpe ukimnyima tuu we Huna Namba miezi mi 3😀😀😀😀😀
 
  • Like
Reactions: Steven baraka

Weldo

Mgeni
Aug 6, 2024
6
2
5
1) Mwenye mpira akichoka na nyie munachoka mana lazima asepe na mpira
2) muki kataa goal la upande wa mwenye mpira mchezo unaisha 😂
 
hancy mo

Mpiga Chabo
Oct 30, 2024
1
0
0
Mambo vipi mwana Kijiweni?
Hakuna ambaye hajawahi kucheza Mchezo huu wa Mpira Wa miguu wa makaratasi

Kama umekua ni miongoni mwa waliocheza Mchezo huu Kuna Sheria nyingi zaidi huwa zipo kuanzia tuko Utotoni mpaka sasa ni watu wazima wengine lakini huwa wanacheza.

Sheria Gani Kwenye Mchezo Huu Lazima Utaikuta Popote Pale Ukienda Kucheza Mpira Wa SODO?
Hakuna mapumziko
Mpira unaisha giza likiingia
Mwenye mpira ndo anapanga kikosii
 
colt

Mpiga Chabo
Oct 30, 2024
1
0
0
Mambo vipi mwana Kijiweni?
Hakuna ambaye hajawahi kucheza Mchezo huu wa Mpira Wa miguu wa makaratasi

Kama umekua ni miongoni mwa waliocheza Mchezo huu Kuna Sheria nyingi zaidi huwa zipo kuanzia tuko Utotoni mpaka sasa ni watu wazima wengine lakini huwa wanacheza.

Sheria Gani Kwenye Mchezo Huu Lazima Utaikuta Popote Pale Ukienda Kucheza Mpira Wa SODO?
Mwenye mpira akiitwa kuoga, mechi imeisha😂
 
Ahmed

Mgeni
Aug 20, 2024
15
3
5
Mambo vipi mwana Kijiweni?
Hakuna ambaye hajawahi kucheza Mchezo huu wa Mpira Wa miguu wa makaratasi

Kama umekua ni miongoni mwa waliocheza Mchezo huu Kuna Sheria nyingi zaidi huwa zipo kuanzia tuko Utotoni mpaka sasa ni watu wazima wengine lakini huwa wanacheza.

Sheria Gani Kwenye Mchezo Huu Lazima Utaikuta Popote Pale Ukienda Kucheza Mpira Wa SODO?
Usipige mashuti (ndole) kesho aupati namba
 
Oct 30, 2024
2
1
5
Mambo vipi mwana Kijiweni?
Hakuna ambaye hajawahi kucheza Mchezo huu wa Mpira Wa miguu wa makaratasi

Kama umekua ni miongoni mwa waliocheza Mchezo huu Kuna Sheria nyingi zaidi huwa zipo kuanzia tuko Utotoni mpaka sasa ni watu wazima wengine lakini huwa wanacheza.

Sheria Gani Kwenye Mchezo Huu Lazima Utaikuta Popote Pale Ukienda Kucheza Mpira Wa SODO?
Vibonge wote magolikipa
 
Lazima ukiwa mgeni utapangiwa ukae beki au kipa ukikataa auchezi unasubiri mtu aumie
 
  • Like
Reactions: Kijiweni