Imani Kajula alikuwa CEO wa EAG Group ambayo ni Kampuni ya Masoko na Mawasiliano ana uzoefu wa kufanya kazi katika masuala ya masoko na biashara kwa zaidi ya miaka 20.
Imani hadi anatangazwa kujiunga na Simba SC alikuwa CEO wa EAG Group kuanzia 2013, kabla ya hapo alikuwa Mkuu wa Masoko na Mawasiliano NMB (2006-2013), Mkurugenzi wa Masoko na Maendeleo ya Biashara wa Tanzania Postal Bank (2003-2006) na alikuwa Meneja Masoko CRDB Bank (1999-2003).
CV