Simba tutakua hatuna mpinzani huko shirikisho tutakua tunapiga nje na ndaniSimba huku shirikisho walipoanguakia huenda msimu ujao wakafanya vizuri au wakafika mbali,kuna kitu kinaniambia !!..
Huko shirikisho timu huwa zina hasira sana Simba asipojipanga hata group stage hatoboi