Tabiri Matokeo Ya Magoli Leo Ngao Ya Jamii Yanga SC vs SIMBA SC

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
281
396
25
Leo kwa Mkapa kuna kazi moja tu ya kumaliza ubishi baina ya vigogo wawili wa soka nchini. Ndio kama kuna waliokuwa wakiona Agosti 8, siku yenyewe ndio hii wakati timu hizo zitakapovaana katika mchezo wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii. Lazima mtu apasuke katika mechi hii ili kupata mshindi wa kucheza fainali Jumapili.
 

matebu

Mgeni
Aug 8, 2024
6
1
5
Mechi ya leo ni ngumu kwa maana hiyo simba ataanza kushinda bao 1 baadaye mwishoni yanga atasawazisha
Dakka tisini
Simba 1 yanga 1
 
  • Like
Reactions: Wistabby

matebu

Mgeni
Aug 8, 2024
6
1
5
Mechi ya leo ni ngumu kwa maana hiyo simba ataanza kushinda bao 1 baadaye mwishoni yanga atasawazisha
Dakka tisini
Simba 1 yanga 1