Ten Hag ametupa matokeo ambayo tuliyakatia tamaa

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Ten Hag ametupa matokeo ambayo tuliyakatia tamaa Leeds wanacheza mpira wanazunguka wanafanya kila kitu uwanjani wanakosa tu umakini wanapokuwa langoni kwa Manchester United.

Team ilikatika kabisa Manchester United Beki tumeshuhudia Maguire anacheza mpira ule ule wa siku zote makosa Yale Yale

Kukosekana Casemiro katikati imekuwa shida Sana kwa Manchester United kumiliki mpira pale Kati lakini sub ya Gernacho imeleta uimara pale mbele Asante kwa Rashford anafunga mfululizo kabisa akiwa kwenye kiwango Bora

Leeds wakati wanajiuliza imekuwaje wanapigwa la Pili game inaisha na kumbuka Manchester United ipo kwenye mbioni za Ubingwa hivyo anahitajika ashinde kila game na wapinzani wake wawe na draw nyingi na kufungwa.

7D7D2F57-2DD0-4DCF-BB3E-5AB767A90C98.jpeg
 
Feb 7, 2023
61
36
5
Hiki wanachokifanya United kwa sasa ni matunda ya ETH ambaye amekuja kuibadilisha timu sehemu kubwa sana hasa jinsi timu inavyocheza inavutia,though bado kuna shida zinaonekana hasa wanapocheza na timu yenye intensity kubwa. Nini kifanyike ili United iwe imara zaidi ni ETH kupewa support ya kutosha kutoka kwa Uongozi, yasiye kutokea kama yanayomkuta Liverpool cc hivi wachezaji wakapata fatigue alf hauna deep squad
 

jamal

Mgeni
Nov 4, 2022
148
90
5
MARCEL SABITZER Jamaa kweny hyo goli la kwanz alinifurahish maan alichafukw alipiga pass yakwanz ya mbele akarejeshew akaituma ten kw shaw😂😂 had nkafurah kutizam hv naon mpira unatikisa wavu😂😂😂
 
  • Like
Reactions: Sports journalist

Azizi

Mgeni
Dec 13, 2022
38
26
5
Garnacho na Martinez ndio game changers
Rashy the inevitable
Malacia hawezi kupandisha timu
Shaw dakika kadhaa tuu Cross moja bao
Garnacho game changer
Weghorst karudi namba 10 anabonda balahhh
 

Lukac

Mgeni
Nov 4, 2022
120
83
5
Mechi iliisha kwenye sub ya Butcher kwa Malacia akili kubwa sana kuongeza ufanisi wa pass ,akiamini uwezo mzuri wa Shaw kupiga pass na cross pia tofauti na malacia anaekupa kwenye kuzuia tu, kuna namna sabitzer kwenye kuanza mpira alikua anatokea eneo la Bissaka na B anaingia kweny eneo la Sab hapa kile kikundi cha makocha kikapotea
 

Kriss

Mgeni
Nov 4, 2022
102
138
5
Martinez alileta stability kwenye timu. Ila fred na Sabitzer, Jukuma la kuinganisha timu liliwashinda kabisa. Ila kocha alitumia ufundi kubadilisha mfumo Sabitze kurudi na ku shape kama beki watatu alafu bisaka anaingia ndani na Weighosy kurudi namba 10.
 

JohBwax

Mgeni
Nov 4, 2022
84
72
5
Sema tumeshinda2 lakini united imecheza chini sana....mimi kwamtazamo wangu leo nilizani martinez nilizani kutona tulivyo cheza gm iliyopita pale matofalini nikazani atacheza kiungo but all any all tumeshinda ila hm ijayo tukicheza km hivi na Leicester na kina vard mmmh sijui
 

Ally R

Mgeni
Jan 26, 2023
17
2
5
Tunamshukuru Gernacho kabadili game haikua rahisi but two chances 2 goals Leeds walistahili hata goli moja ila hawakua na maamuzi mazuri mbele ya goal
 

kamakawa

Mgeni
Nov 4, 2022
60
57
5
well done boys Noucamp here we come sema united kuna kitu naona hakipo sawaa buildup zetu zipo slow sana kias kwamba mpinzani anakusomaa utafanya nn next a litlle changes kweny hilo na ile agresiveness once tunapopoyeza mpiraa we will be phenomenon💪💪💪
 

McRay

Mgeni
Nov 4, 2022
185
131
5
Kuna muda nilitamani tuwe tuna mtu kama Bernado Silva wa kuchukua mali chini na kuidrive juu tulikosa kabisa huyo mtu wa kuiua Pressing ya Leeds. Point 3 muhimu.