Ten Hag ametupa matokeo ambayo tuliyakatia tamaa Leeds wanacheza mpira wanazunguka wanafanya kila kitu uwanjani wanakosa tu umakini wanapokuwa langoni kwa Manchester United.
Team ilikatika kabisa Manchester United Beki tumeshuhudia Maguire anacheza mpira ule ule wa siku zote makosa Yale Yale
Kukosekana Casemiro katikati imekuwa shida Sana kwa Manchester United kumiliki mpira pale Kati lakini sub ya Gernacho imeleta uimara pale mbele Asante kwa Rashford anafunga mfululizo kabisa akiwa kwenye kiwango Bora
Leeds wakati wanajiuliza imekuwaje wanapigwa la Pili game inaisha na kumbuka Manchester United ipo kwenye mbioni za Ubingwa hivyo anahitajika ashinde kila game na wapinzani wake wawe na draw nyingi na kufungwa.