Tetesi Zote Za USAJILI Hizi Hapa

KizzTz

Mpiga Chabo
Jun 20, 2024
2
0
0
Simba bna..😂😂🤪 iv kwanini Mo asituchie tuh.. timu yetu Naamini mpigaji mkubwa ni Mo... Anatutolea bagia Anatuletea Mandazi🙄🙄
 

Magoti

Mpiga Chabo
Jun 21, 2024
1
0
0
Yanga uwezo wa kufanya vizuri tena ni mkubwa kwa sababu kikosi akibomolewi Sana kama cha simba