Dah hiv young African tushalipa madeni yanafanya tufungiwe au bado???
K kabelwa Mpiga Chabo Jun 20, 2024 4 0 0 Jun 20, 2024 #21 Dah hiv young African tushalipa madeni yanafanya tufungiwe au bado???
abdul swaxy Mpiga Chabo Jun 8, 2024 2 0 0 Jun 20, 2024 #25 Ndivyo ilitakiwa uanguke ili ujue ulikosea wap simba nguvu moyaa
K KizzTz Mpiga Chabo Jun 20, 2024 2 0 0 Jun 20, 2024 #26 Simba bna.. iv kwanini Mo asituchie tuh.. timu yetu Naamini mpigaji mkubwa ni Mo... Anatutolea bagia Anatuletea Mandazi
Simba bna.. iv kwanini Mo asituchie tuh.. timu yetu Naamini mpigaji mkubwa ni Mo... Anatutolea bagia Anatuletea Mandazi
Magoti Mpiga Chabo Jun 21, 2024 1 0 0 Jun 21, 2024 #27 Yanga uwezo wa kufanya vizuri tena ni mkubwa kwa sababu kikosi akibomolewi Sana kama cha simba
D De Sòuzα Mgeni Jun 22, 2024 11 2 5 Jun 22, 2024 #28 Dah ila Kwa timu ya Pamba yasije yakawakuta kama timu zngne miaka ya nyuma afu wakajikuta wanarudi walikotoka
Dah ila Kwa timu ya Pamba yasije yakawakuta kama timu zngne miaka ya nyuma afu wakajikuta wanarudi walikotoka