Thank You Iendelee Kwa Nani SIMBA SC ?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
489
643
125
Baada ya Chilunda, Ntibanzokiza, Bocco na Miquissone kupewa mkono wa Kwaheri, unadhani mchezaji gani mwingine anapaswa kuondoka Simba.?!
 
  • Like
Reactions: anord mlwilo

Dr massawe

Mgeni
Jun 19, 2024
1
1
5
Msimu ujao Simba ndio timu itakayo pata shida sana kwenye matokeo; kwani kama wachezaji wanafukuzwa pasipo pendekezo la Coach na kama team inasajili pasipo coach hapo kuja kupata chemistry ni mtuhani sana...
 
  • Like
Reactions: Tyseem

dj snake

Mpiga Chabo
Jun 19, 2024
1
1
0
tatizo tunatoa thank you bila kumshirikisha kocha mpya ajae, naiona changamoto kwenye kupata chemistry nzuri ya wachezaji watao sajiliwa
 
  • Like
Reactions: Mr Ben

amanysalum

Mpiga Chabo
Jun 9, 2024
3
0
0
Sikatai ila sisi sio wageni na soka la Tanzania
Viongozi ndio husajili wachezaji ....coach huwakuta na kuendelea nao mfano..kipindi cha gomez..lechantre...uchebe....ven der brook wote hao waliikuta team na tukafanya vyema kabisa ...
 
FUFI

Mpiga Chabo
Jun 19, 2024
3
0
0
Watu wanalalamika kuhusu muunganiko wa timu ya Simba baada ya usajili kufanyika kwakua umefanyika bila kufata maelekezo ya coach ila nawakumbusha chemistry inategemea na quality ya wachezaji