Mchezo wa kimataifa wa kirafiki kati ya TS GALAXY kutoka Ligi kuu ya Afrika Kusini dhidi ya Yanga Sc umetamatika kwa wananchi kuondoka na ushindi wa bao 1 kwa sifuri likifungwa na mshambuliaji mpya wa klabu hiyo Prince Dube. Umeionaje Mechi Na Kikosi Cha Yanga Kwa Ujumla Kwenye Mchezo Wa Leo?