TS GALAXY 0 Yanga SC 1: Umeionaje Mechi Na Kikosi Cha Yanga Kwa Ujumla Kwenye Mchezo Wa Leo?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
278
395
25
Mchezo wa kimataifa wa kirafiki kati ya TS GALAXY kutoka Ligi kuu ya Afrika Kusini dhidi ya Yanga Sc umetamatika kwa wananchi kuondoka na ushindi wa bao 1 kwa sifuri likifungwa na mshambuliaji mpya wa klabu hiyo Prince Dube. Umeionaje Mechi Na Kikosi Cha Yanga Kwa Ujumla Kwenye Mchezo Wa Leo?
 

njovu master

Mgeni
Jul 24, 2024
10
1
5
Kiukweli mie nilikuwa namtazama chama tu peke yake maana naona kama pumzi akunaga vile huyu mwaka mmoja huu unamuhusu aongezi mwingine wala aongezewi mwingine
 

whizzy

Mgeni
Jul 24, 2024
1
1
5
Daah nimependa SANA pacha ya chama azizi ki na dune juu ya goli lililofungwa chama akawadanganya mabeki kwa kuzuga kama ndiye atakayepewa pasi na kufunga but haikuwa hivyoo akapewa dune aka funa good and well chemistry 🤣🤣🤣🤣🤣♥️🌹
 
  • Like
Reactions: ochu

Fanikio

Mpiga Chabo
Jul 24, 2024
1
0
0
Kwa Yanga hii, amini katiba kuna mtu atakuja kupigwa mvua ya magolli. Wamecheza kwa utulivu na mbinu mno huku akili kubwa ikitawala game. Good score kwa Dube.