Tukio Gani Ushawahi Kukutana Nalo Kwenye Viwanja Kama Hivi Likakuacha Hoi?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
564
727
125
Mambo vipi mwana Kijiweni.. Bila shaka unaweza kuwa miongoni mwa wadau wa soka ambao kwao kwenda kutazama soka katika viwanja kama hivi huwa ni kawaida sana na mara nyingi huwa hata unaweza kuwa ushawahi kucheza katika viwanja hivi kama ni huwa unacheza mpira

Tuambie ni Tukio Gani Ushawahi Kukutana Nalo Kwenye Viwanja Kama Hivi Likakuacha Hoi?
Snapinsta.app_460067563_1205608877178074_7836713845773996382_n_1080.jpg
 
  • Like
Reactions: nadil__smigo
Sep 11, 2024
3
1
5
Nakumbuka ulipigwa mpira halafu kuachana nyavu ukapita pembeni ya goli halafu ukaingia ndani,kukawa na utata km goli au sio goli na mm ndio nilikua nyuma ya goli...Basi nikaona wahuni wanakuja na mapanga kuja kuniuliza mm,weee nikasema watu sio wajinga,nilishika viatu vyangu mkononi halafu kilichofuata hapo huo mwendo.
 
  • Like
Reactions: Bplm1664

Roy Creation

Mgeni
Jun 16, 2024
12
2
5
Mambo vipi mwana Kijiweni.. Bila shaka unaweza kuwa miongoni mwa wadau wa soka ambao kwao kwenda kutazama soka katika viwanja kama hivi huwa ni kawaida sana na mara nyingi huwa hata unaweza kuwa ushawahi kucheza katika viwanja hivi kama ni huwa unacheza mpira

Tuambie ni Tukio Gani Ushawahi Kukutana Nalo Kwenye Viwanja Kama Hivi Likakuacha Hoi?
View attachment 1559
Kuna mwamba Alifunga goli la kusawazisha akavunjika mguu na hajaguswa kwenye matuta kipa kapangua penati ya mwisho kazimia ilikua fainali Ng'ombe Cup🤣
 
Timmy luke

Mpiga Chabo
Sep 18, 2024
3
0
0
Mambo vipi mwana Kijiweni.. Bila shaka unaweza kuwa miongoni mwa wadau wa soka ambao kwao kwenda kutazama soka katika viwanja kama hivi huwa ni kawaida sana na mara nyingi huwa hata unaweza kuwa ushawahi kucheza katika viwanja hivi kama ni huwa unacheza mpira

Tuambie ni Tukio Gani Ushawahi Kukutana Nalo Kwenye Viwanja Kama Hivi Likakuacha Hoi?
View attachment 1559
Goli linafungwa afu refa anasema kona.
 
May 20, 2024
8
4
5
Mambo vipi mwana Kijiweni.. Bila shaka unaweza kuwa miongoni mwa wadau wa soka ambao kwao kwenda kutazama soka katika viwanja kama hivi huwa ni kawaida sana na mara nyingi huwa hata unaweza kuwa ushawahi kucheza katika viwanja hivi kama ni huwa unacheza mpira

Tuambie ni Tukio Gani Ushawahi Kukutana Nalo Kwenye Viwanja Kama Hivi Likakuacha Hoi?
View attachment 1559
Mechi uwa aziishag salama ugomvi tunaanza kukimbizana
 
gihsygiven

Mgeni
Sep 18, 2024
10
1
5
refareee alkua atak kumaliz mpira kumbe alikua alishamuandaa dereva pikipik akawa anakalibia kwa boda akapulz akapand chap boda 😂😂
 
Timmy luke

Mpiga Chabo
Sep 18, 2024
3
0
0
Mambo vipi mwana Kijiweni.. Bila shaka unaweza kuwa miongoni mwa wadau wa soka ambao kwao kwenda kutazama soka katika viwanja kama hivi huwa ni kawaida sana na mara nyingi huwa hata unaweza kuwa ushawahi kucheza katika viwanja hivi kama ni huwa unacheza mpira

Tuambie ni Tukio Gani Ushawahi Kukutana Nalo Kwenye Viwanja Kama Hivi Likakuacha Hoi?
View attachment 1559
Goli linafungwa afu refa anasema kona, pale pale akapigwa mpaka kulazwa
 
curtisguntram

Mpiga Chabo
Jun 23, 2024
1
0
0
Mambo vipi mwana Kijiweni.. Bila shaka unaweza kuwa miongoni mwa wadau wa soka ambao kwao kwenda kutazama soka katika viwanja kama hivi huwa ni kawaida sana na mara nyingi huwa hata unaweza kuwa ushawahi kucheza katika viwanja hivi kama ni huwa unacheza mpira

Tuambie ni Tukio Gani Ushawahi Kukutana Nalo Kwenye Viwanja Kama Hivi Likakuacha Hoi?
View attachment 1559
Majani ya mti ndo kibendera cha lines men 🤝🏾😂
 
Danielmakala

Mgeni
Sep 17, 2024
10
2
5
26
Singida
Jamaa waliingia uwanjani na njiwa wawili kabla ya mechi kuanza mganga wao aliwambia wawapeperushe hao njiwa wakiwa ktkat ya dimba kabla hawajafanya jambo lao wapinzani wao wakawawai wakawawai wakawakanyaga kanyaga njiwa uwanja wote ukazagaa manyoya na walikula chuma mbili kwa sifuri