Ni bora mtu mzima mwenye uwezo na akili ya clinical finisher "killer" kuliko kuwa na rundo la vijana wasio na meno
Huyu Aboubakar na hilo jini lililotaka zamisha meli ya argentina ni madingi lkn yana uwezo wa hali ya juu
Nilichopenda kwa ten hag amesema hao kwake sio mipango yake ya muda mrefu hvyo target yake ya striker wa mfumo wake bado lko pale pale sokoni kutafuta striker
Nadhani Ten Hag anaamua kukubaliana na Veteran wa mkopo wenye uwezo na sio kasi kwa muda mfupi kuliko kukosa kabisa
Na hii yote ni kutokana na club kuwa na michakato ya kuuzwa hvyo mwekezaji wa sasa anayetaka kuuza hayuko tayari kutoa hela za usajili wakati yeye anataka kusepa