Tusanue Hapa Utapeli Mpya Unaoujua Tujilinde Nao Mapemaaa

Imma MK

Mgeni
May 2, 2024
16
5
5
Hawa wa kusema ana kuunganisha na malaya mkoa wowote uliopo nao ni utapeli,Alafu kuna hii Aviator prediction nayo ni utapeli tu and most social businesses ni utapeli tu
 

Deejayfox

Mpiga Chabo
Aug 15, 2024
1
0
0
Mambo vipi wanakijiweni... Kumekua na matukio mbalimbali ambayo yanayotokea yanayohusisha Utapeli na unaweza kuwa ni miongoni mwa wale ambao wamekutana na changamoto hizi za Utapeli

Msanue mwana Kijiweni mwenzako hapa Tukio Gani Jipya la Utapeli unalolifahamu na uliliepuka vipi?
Utasikia Mimi mwalimu wa Mtoto wako hile Ada anayo daiwa tuma kwenye namba yangu ele namba ya shuleni pale saivi aipatikani umesikia mzazi wa Juma usi sa au ikifika SAA 6 we nitumie nitakuwa nimetoka darasani