Tusanue Hapa Utapeli Mpya Unaoujua Tujilinde Nao Mapemaaa

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
466
622
125
Mambo vipi wanakijiweni... Kumekua na matukio mbalimbali ambayo yanayotokea yanayohusisha Utapeli na unaweza kuwa ni miongoni mwa wale ambao wamekutana na changamoto hizi za Utapeli

Msanue mwana Kijiweni mwenzako hapa Tukio Gani Jipya la Utapeli unalolifahamu na uliliepuka vipi?
 
Jr 097

Mgeni
Jun 21, 2024
11
4
5
Mwanangu nmekuchek kweny grp letu la whatsapp...

Kama hutojali naomba unisaidie ata 2000 nna shida hapa bi mkubwa anadai hana chakula
 
  • Like
Reactions: Weldo

Weldo

Mgeni
Aug 6, 2024
6
2
5
Oya mwananguee ile inshu si imekamilika na walileta pesa , ila sasa zakwako nita kupa mida mida 🤣
 
the director

Mgeni
Jun 5, 2024
159
25
5
Nauza Odds 😁
Utapeli huu umekua ni mkubwa sana, maana watu wengi wanataka maendeleo ya haraka sasa wakisikia Odds 300 za uhakika wanakua chapu kutuma pesa.. vijana tutulize akili zetu🗣️
 
  • Wow
Reactions: ABDULQADIR

ABDULQADIR

Mgeni
Jun 23, 2024
9
3
5
Ule wa kusimamishwa uelekeze njia duuh unawezaa kujikuta una mawe tuh mfukoni kikubwa inabidi uwe na karoho kabaya kwa mbali maana binadamu hàwana roho utakayotarajia
 
Gking

Mpiga Chabo
Aug 6, 2024
3
0
0
Mambo vipi wanakijiweni... Kumekua na matukio mbalimbali ambayo yanayotokea yanayohusisha Utapeli na unaweza kuwa ni miongoni mwa wale ambao wamekutana na changamoto hizi za Utapeli

Msanue mwana Kijiweni mwenzako hapa Tukio Gani Jipya la Utapeli unalolifahamu na uliliepuka vipi?
Hapo ni kwenye beting hakuna kwingine yaani mtu anakuambia Kuna mkeka unauzwa ni sure odds alafu sasa odds ni 200 mpaka 330 hivi 😂 aise alafu mtu anakuonesha na history kabisa kumbe hile ni editing
 
Kiddy11

Mpiga Chabo
Aug 15, 2024
1
0
0
Fixed matches😅😅washenzi sana hao jamaa walimpiga ada mwanangu kipindi tupo first year.
Kuna hawa wanauza signal za aviator matapeli wakubwa😅
 
Honest'G

Mgeni
Jun 13, 2024
14
2
5
Mkopo wa haraka bila riba, ingia kwenye hii linki ujipatia kias unachotaka.

Haya malink ni ya hackers ukiingia umejiroga, wanakomba salio kwenye sim mpk benki kama usipokaa vzur
 
Sinta

Mpiga Chabo
Aug 15, 2024
1
0
0
Mambo vipi wanakijiweni... Kumekua na matukio mbalimbali ambayo yanayotokea yanayohusisha Utapeli na unaweza kuwa ni miongoni mwa wale ambao wamekutana na changamoto hizi za Utapeli

Msanue mwana Kijiweni mwenzako hapa Tukio Gani Jipya la Utapeli unalolifahamu na uliliepuka vipi?
Mimi ni Mwl wa darasa wa mwanao, anaumwa Sana hapa tunataka tumpeleke hospital tuma hela tuwahi kumpeleka utatu
kuta.
 
che Malone

Mpiga Chabo
Aug 15, 2024
1
0
0
Mambo vipi wanakijiweni... Kumekua na matukio mbalimbali ambayo yanayotokea yanayohusisha Utapeli na unaweza kuwa ni miongoni mwa wale ambao wamekutana na changamoto hizi za Utapeli

Msanue mwana Kijiweni mwenzako hapa Tukio Gani Jipya la Utapeli unalolifahamu na uliliepuka vipi?
Maafisa fake wa tanroads ambao wamekuwa wakiwakamata madereva wa malori na magari madogo na kudai rushwa ya laki moja Hadi 4 kama fine... Wanazurura na vigari vidogo