Ukipata Nafasi Ya Kuzungumza Na Kibu Denis Ungemwambia Nini?

Roby Simba

Mgeni
Jun 11, 2024
21
11
5
Hajui Kuna maisha baada ya kufeli majaribio huko acha ajikute ameyapatia maisha nipo pale hii ni Tanzania atasema tu mwenyew bila kuulizwa
 
Skr_tz

Mgeni
Jul 2, 2024
10
4
5
Kibuu?!
Hahahahahaha!.
Maisha bwana....!
Mwacheni jamani maisha popote naamini ajakurupuka kufanya ayo maamuzi.

MAY GOD BLESS HIM IF HE HAS DECIDED TO FIND LIFE IN ANOTHER PLACE......,,,!
 
Benson peter

Mpiga Chabo
Jul 23, 2024
1
0
0
Hiv Bado wachezaji wetu hawajifunzi kutoka Kwa wachezaji wa njee hamna mchezaji anaweza kufanya uupuzi huu wa kibu anayejielewa
 
Bernard Msanga

Mpiga Chabo
Jul 23, 2024
2
0
0
Kwa Mujibu Wa JEMEDARI SAID Ambaye amepost katika kurasa zake za Mitandao ya Kijamii Ameandika:

KIBU DENIS AMETOROKA NCHINI LEO KWENDA NORWAY Mchezaji wa Simba SC KIBU DENIS PROSPER ameitoroka timu yake ya Simba jioni ya leo na kukimbilia nchini Denmark. Kibu ambaye amesajiliwa na Simba kwa mkataba wa miaka 2 na kupokea 400M ameondoka na ndege ya Ethiopia Airline ya saa 10 jioni kupitia Addis Ababa akitumia tiketi ya kwenda pekee (single ticket) bila na kuwa na ya kurudia hali inayotia shaka kwamba huenda asirudi tena nchini. Mchezaji huyo Mtanzania mwenye asili ya Congo DR ambaye alipata uraia wake miaka michache iliyopita ameitia hofu klabu yake kwamba huenda anaenda “KUJILIPUA” kama mkimbizi na asirudi tena ilihali ameshachukua 400M na amekosekana kambini tangu Simba imeanza Pre-season. Wakala anaetambulika na klabu wa mchezaji huyo ambaye Bin Kazumari imetambulishwa kwa jina moja la Yazidu (Mwanasheria) alishapokea mkwanja wake na kusaini karatasi za mkataba na malipo na klabu kitambo, huku katika hali nyingine Simba wakionekana kumkana mtu mwingine yoyote ambaye sio Yazidu kujitangaza kama wakala wa Kibu na wametia shaka huenda kuna mtu yuko nyuma ya mpango wa kumtorosha mchezaji. Picha 3 ni KIBU alivyopita airport “Kininja”, nyingine inaonyesha Visa na mwisho ni passport yake. Simba inafanya jitihada kuhakikisha kijana wao anarejea kambini kujiunga na wenzake.
Kibu ni mkandaji hivyo huko Norway yamkini kaenda kujikanda vizuri,

Lakini WEMA UKIZIDI UWEZO HUZAA DHAMBI,

NA MASIKINI AKIPATA MATAKO ULIA BWATA ( PATA PESA TUIJUE TABIA YAKO)

Kweli UBAYA UBWELA 😭😂
 
Peace

Mpiga Chabo
Jul 23, 2024
1
0
0
segerea
Sijui Kibu anajiona Ronaldo wa Simba..Ila inshort kazingua...yeye kama anataka kuondoka aseme tu sisi hatuna.shida wachezaji wapo wengi tu #UBAYA UBWELA#
 
Moshi king

Mpiga Chabo
Jul 23, 2024
1
0
0
Kwa Mujibu Wa JEMEDARI SAID Ambaye amepost katika kurasa zake za Mitandao ya Kijamii Ameandika:

KIBU DENIS AMETOROKA NCHINI LEO KWENDA NORWAY Mchezaji wa Simba SC KIBU DENIS PROSPER ameitoroka timu yake ya Simba jioni ya leo na kukimbilia nchini Denmark. Kibu ambaye amesajiliwa na Simba kwa mkataba wa miaka 2 na kupokea 400M ameondoka na ndege ya Ethiopia Airline ya saa 10 jioni kupitia Addis Ababa akitumia tiketi ya kwenda pekee (single ticket) bila na kuwa na ya kurudia hali inayotia shaka kwamba huenda asirudi tena nchini. Mchezaji huyo Mtanzania mwenye asili ya Congo DR ambaye alipata uraia wake miaka michache iliyopita ameitia hofu klabu yake kwamba huenda anaenda “KUJILIPUA” kama mkimbizi na asirudi tena ilihali ameshachukua 400M na amekosekana kambini tangu Simba imeanza Pre-season. Wakala anaetambulika na klabu wa mchezaji huyo ambaye Bin Kazumari imetambulishwa kwa jina moja la Yazidu (Mwanasheria) alishapokea mkwanja wake na kusaini karatasi za mkataba na malipo na klabu kitambo, huku katika hali nyingine Simba wakionekana kumkana mtu mwingine yoyote ambaye sio Yazidu kujitangaza kama wakala wa Kibu na wametia shaka huenda kuna mtu yuko nyuma ya mpango wa kumtorosha mchezaji. Picha 3 ni KIBU alivyopita airport “Kininja”, nyingine inaonyesha Visa na mwisho ni passport yake. Simba inafanya jitihada kuhakikisha kijana wao anarejea kambini kujiunga na wenzake.
Tatizo wachezaji wa bongo wengi wanatamaa
 
MR. VIP

Mgeni
May 17, 2024
25
3
5
Ikiwa ni sahihi kwa kibu kichwani mwake basi mpira wake umefika mwisho anatafuta pa kutolea lawama tu.
Alimaliza mkataba akadengua akatongozwa akakubali kwa nini atoroke? Si ni bora angekataa kuongeza mkataba leo angekuwa free bila kinyongo na wadau?
Hata cheza mpira kwa mgogoro huu ukijumlisha na umri wa mchongo... ndio basi tena.
 
Andika ujumbe wako...