Klabu ya Singida Black Stars imesema imepokea kwa mshituko na masikitiko makubwa taarifa ya kocha wao Hamdi Milaoud kutambulishwa na Klabu ya Yanga bila kufuata utaratibu, hivyo uongozi unalifuatilia jambo hilo.
Hii inaonesha dhahiri kua pana muunganiko wa pamoja baina ya Yanga na Singida, maana haiingiii akilini kusema kwa kocha iwe toka nkae kwa ndani ya siku moja.