Umeipokeaje Taarifa Hii Ya Singida Black Stars Kuhusu Kocha Wao? Una Kipi Cha Kusema Mwana Kijiweni?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
516
677
125
Klabu ya Singida Black Stars imesema imepokea kwa mshituko na masikitiko makubwa taarifa ya kocha wao Hamdi Milaoud kutambulishwa na Klabu ya Yanga bila kufuata utaratibu, hivyo uongozi unalifuatilia jambo hilo.

1000632973.jpg
 

Sule sk

Mpiga Chabo
Feb 5, 2025
2
0
0
Hii inaonesha dhahiri kua pana muunganiko wa pamoja baina ya Yanga na Singida, maana haiingiii akilini kusema kwa kocha iwe toka nkae kwa ndani ya siku moja.