Bodi ya ligi imetangaza kuwa #LigiKuu itasimama mpaka Machi 1,2025 kupisha michuano ya Mapinduzi 2025 na ile ya CHAN.Mapinduzi inaanza mapema Januari na ile ya CHAN ambayo Tanzania ni mwenyeji pamoja na Kenya na Uganda itafanyika Februari 2025.
Umeipokeaje Taarifa Ya Kusimama Kwa LIGI KUU Mpaka 01/03/2025?
Umeipokeaje Taarifa Ya Kusimama Kwa LIGI KUU Mpaka 01/03/2025?