Umeipokeaje Taarifa Ya Kusimama Kwa LIGI KUU Mpaka 01/03/2025?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
489
643
125
Bodi ya ligi imetangaza kuwa #LigiKuu itasimama mpaka Machi 1,2025 kupisha michuano ya Mapinduzi 2025 na ile ya CHAN.Mapinduzi inaanza mapema Januari na ile ya CHAN ambayo Tanzania ni mwenyeji pamoja na Kenya na Uganda itafanyika Februari 2025.
0c4c66d4-3269-415b-bcab-6797b8b08d01.jpg

Umeipokeaje Taarifa Ya Kusimama Kwa LIGI KUU Mpaka 01/03/2025?
 
  • Like
Reactions: praygodinho
Nov 7, 2024
17
5
5
Hii taarifa imeteua kila kitu kwenye raha ya mpira sidhani kama kutakuwa na cha maana kwani waliochaguliwa mapinduzi cup ni wachache wanaoshiriki ligi kuu na hata hamna mchezaji wa simba au yanga aliyeitwa labda tungependa kwenye CHAN lakini sio mpaka ligi isimame maana haitadhuru sana zaidi ya kushusha viwango vya wachezaji pia😢
 

Mr perbaos1

Mpiga Chabo
Dec 22, 2024
2
0
0
Huenda wakawa Sahihi ila dirisha la usajili kwa timu zote libaki wazi binafsi sioni haja ya kufunga dirisha kheri watoe muda kwa timu kuboresha vikosi
 

Syli boy

Mpiga Chabo
Jan 1, 2025
1
0
0
Daah hapo mbali saana watu watamis operation ya gusa achia twende kwao walete kati na wengine gusa butua tukutane mbele ukifika kwenye box jiangushe penalt walete kati