Wanayanga kwa sasa wanawaza kufuzu makundi tu,ila ili kundi limekaa kimtego sana ikitokea yanga hajaongoza kundi bas atakutana na mpinzan mgumu sana robo fainali.
Mazembe wanaitaka Robo, Al Hilal wanaitaka pia. Kwa maoni yangu Uto WANATAKIWA kusimamia kucha hili kundi timu zote Zina uzoefu na mashindano haya ya Africa.
Uto wakija na spirit ya msimu Jana wanatoboa ila tukiwapa uvimbe wakajiona wamemaliza kabla tutadhalilika.