Tumezoea kwamba kwa Tanzania kuna majina mengi sana ambayo yapo na yanatumiwa na mashabiki japokua sio rasmi sana lakini huwa ni kama njia mojawapo ya utani kwao. Na mara nyingi ukisikia jina hilo unajua kabisa hapa kamaanisha timu flani au anamtania shabiki wa timu flani
Unamtania Kwa Jina Gani Rafiki Yako Ambaye Hashabikii Timu Unayoishabikia?
Unamtania Kwa Jina Gani Rafiki Yako Ambaye Hashabikii Timu Unayoishabikia?