Usajili Wa Chama Kwenda Yanga -Yanga Hamueleweki, Sijui Mna Shida Gani!

Mshua

Mgeni
May 27, 2024
34
24
5
Salaam Wakuu..

Nashangazwa na hizi kelele za midundiko na kukata viuno tunazopigiwa na wajuaji wa mitaa ya Twiga na Jangwani pale Kariakoo.

Hawa wanashangilia leo kumsajili Chama, yule yule ambaye miaka yote walikuwa wakituaminisha ni mchezaji wa mechi ndogo.

Ina maana huyu Chawa amegeuka ghafla kuwa mchezaji wa mechi kubwa baada ya kuhamia kwao?

Huyu Chama waliyekuwa wakituambia kila siku hana nguvu, leo amezipata hizo nguvu baada ya kuhamia Jangwani?

Nawashauri mtulie, mjitafakari vizuri mkijiuliza mko sawa kichwani?

Tukutane uwanjani na huyo Chama wenu mpya ili tuone kama atakuwa na nguvu za ghafla, na atgeuka kuwa mchezaji wa mechi kubwa ghafla.
 
KBE

Mgeni
May 2, 2024
2
2
5
Usajili wa Chama kwa Yanga ni fursa kubwa sana kwa Simba maana hii itawapa Simba nafasi nzuri ya kufanya usajili mkubwa sana ili kuziba pengo la Chama na kuondoa fikra za kutegemea mchezaji mmoja kila msimu.
 
  • Like
Reactions: Eddy de Jr

mshanaog

Mgeni
Jun 29, 2024
2
2
5
Salaam Wakuu..

Nashangazwa na hizi kelele za midundiko na kukata viuno tunazopigiwa na wajuaji wa mitaa ya Twiga na Jangwani pale Kariakoo.

Hawa wanashangilia leo kumsajili Chama, yule yule ambaye miaka yote walikuwa wakituaminisha ni mchezaji wa mechi ndogo.

Ina maana huyu Chawa amegeuka ghafla kuwa mchezaji wa mechi kubwa baada ya kuhamia kwao?

Huyu Chama waliyekuwa wakituambia kila siku hana nguvu, leo amezipata hizo nguvu baada ya kuhamia Jangwani?

Nawashauri mtulie, mjitafakari vizuri mkijiuliza mko sawa kichwani?

Tukutane uwanjani na huyo Chama wenu mpya ili tuone kama atakuwa na nguvu za ghafla, na atgeuka kuwa mchezaji wa mechi kubwa ghafla.
Ndio wabongo tulivo maneno mengi
 
Kinboyz32

Mgeni
Jul 1, 2024
2
1

Hamna lolote 🤣 🤣 🤣 ni uhuni tu mtandaoni🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃 unajikuta mnene afu kesho kilio dah!
 
  • Like
Reactions: iddy

Kinboyz32

Mgeni
Jul 1, 2024
2
1
5
Salaam Wakuu..

Nashangazwa na hizi kelele za midundiko na kukata viuno tunazopigiwa na wajuaji wa mitaa ya Twiga na Jangwani pale Kariakoo.

Hawa wanashangilia leo kumsajili Chama, yule yule ambaye miaka yote walikuwa wakituaminisha ni mchezaji wa mechi ndogo.

Ina maana huyu Chawa amegeuka ghafla kuwa mchezaji wa mechi kubwa baada ya kuhamia kwao?

Huyu Chama waliyekuwa wakituambia kila siku hana nguvu, leo amezipata hizo nguvu baada ya kuhamia Jangwani?

Nawashauri mtulie, mjitafakari vizuri mkijiuliza mko sawa kichwani?

Tukutane uwanjani na huyo Chama wenu mpya ili tuone kama atakuwa na nguvu za ghafla, na atgeuka kuwa mchezaji wa mechi kubwa ghafla.
 
jopac maisha

Mgeni
May 8, 2024
8
3
5
Mim msimbazi damu nina furaha sana huyu mjinga kwenda maana chama alikuwa analeta sana jeuri kuanzia kwa makocha mpaka viongozi akijiona yeye ni bora kuliko simba sasa namwambia hivi nembo ya simba ni bora kuliko chama swaahini
 
Jun 13, 2024
10
5
5
Yanga kusajili Kwa chama ni kuzani unaikomoa Simba Simba Hadi sasa imesha jikomoa kilicho Baki chana kama anaenda aendee tu maisha popote
 
Jul 1, 2024
9
2
5
Mim msimbazi damu nina furaha sana huyu mjinga kwenda maana chama alikuwa analeta sana jeuri kuanzia kwa makocha mpaka viongozi akijiona yeye ni bora kuliko simba sasa namwambia hivi nembo ya simba ni bora kuliko chama swaahini
Mue mnaongea bas kama mnaujua mpira huyo unaemwita mjinga nahis ndo mchezaji mwenye takwimu kubwa pale simba kwa michezo ya kimataifa
 
sadiki james

Mgeni
Jun 13, 2024
17
7
5
Siku zote ki2 kikiwa kwa mwenzio kibaya, ki2 hichohicho kikija kwako utamu kolea, alipokua Simba walisema hawezi kukimbia mara anapooza sana mipira ila alivoenda yanga kesho mbali watamfananisha na mnyama chita
 
  • Like
Reactions: Wistabby

Sonco Cheol

Mgeni
May 15, 2024
14
6
5
Big up Young Africans 👏👏.... Njia rahisi ya kumpiga adui ni kumdhoofisha.
Naweza sema this is the biggest downfall Kwa viongozi wa Simba.
Silaha kama Chama haikupaswa iende Kwa adui wako wa karibu.... Ni kweli hakuna mchezaji mkubwa kuliko team lakini angeenda kwingineko sio yanga.
Ichi kitu viongozi wa Simba watajutia mno.
Subir muda ufike... Binafsi nmekerekwa sana na walichokifanya SSC.
#NguvuMoja🦁🦁
 
#NguvuMoja

Bitter truth, although Chama simlaumu kwa kuhama maana yeye anachoongalia Ni maslahi Kama mchezaji,
Simba wamefeli Kama wafanyabiashara , Lakini pia Ni wakati wa Chama kukaa bench maana anakutana na compitators within a team, maana Simba alishakuwa King,

It's also the best for team to create a very good team,
Si Mara ya kwanza Chama kucheza nje ya Simba,...
 
  • Like
Reactions: Sonco Cheol
Jul 1, 2024
9
2
5
Siku zote ki2 kikiwa kwa mwenzio kibaya, ki2 hichohicho kikija kwako utamu kolea, alipokua Simba walisema hawezi kukimbia mara anapooza sana mipira ila alivoenda yanga kesho mbali watamfananisha na mnyama chita
Huo ni mpira na hayo hua ni maneno tyu hata sasa kuna wanasimba wanasema aziz ki ni mbovu ila akija simba mtasema ni mzuri so acha kuongea pointless
 
Newton

Mpiga Chabo
Jun 5, 2024
8
0
0
Salaam Wakuu..

Nashangazwa na hizi kelele za midundiko na kukata viuno tunazopigiwa na wajuaji wa mitaa ya Twiga na Jangwani pale Kariakoo.

Hawa wanashangilia leo kumsajili Chama, yule yule ambaye miaka yote walikuwa wakituaminisha ni mchezaji wa mechi ndogo.

Ina maana huyu Chawa amegeuka ghafla kuwa mchezaji wa mechi kubwa baada ya kuhamia kwao?

Huyu Chama waliyekuwa wakituambia kila siku hana nguvu, leo amezipata hizo nguvu baada ya kuhamia Jangwani?

Nawashauri mtulie, mjitafakari vizuri mkijiuliza mko sawa kichwani?

Tukutane uwanjani na huyo Chama wenu mpya ili tuone kama atakuwa na nguvu za ghafla, na atgeuka kuwa mchezaji wa mechi kubwa ghafla.
Sa itakuaje meneja 🤣🤣 🦁🤣🤣 ni 🖐 tena au 🙌🖐 Ila 🔰 au basi eh
 
Attachments

  • IMG-20240701-WA0002.jpg
    IMG-20240701-WA0002.jpg
    29.4 KB · Somwa: 0