Utamkumbuka Kwa Lipi HENOCK INONGA Kwenye LIGI KUU Ya TANZANIA?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
281
396
25
Beki kisiki wa Simba SC na DRC, Henock Inonga Baka ameondoka rasmi Simba SC baada ya kuitumikia Kwa muda wa misimu mitatu

Utamkumbuka Kwa Lipi HENOCK INONGA Kwenye LIGI KUU YA Tanzania Bara?
 
Last edited:

elkana

Mgeni
Jun 22, 2024
6
2
5
Beki kisiki wa Simba SC na DRC, Henock Inonga Baka ameondoka rasmi Simba SC baada ya kuitumikia Kwa muda wa misimu miwili

Utamkumbuka Kwa Lipi HENOCK INONGA Kwenye LIGI KUU YA Tanzania Bara?
Jinsi alivyotuuza na kuanza kuturingia ama kweli wachezaji wa Kongo hawana shukrani
 
Godahjnr

Mpiga Chabo
Jun 4, 2024
2
0
0
staili yake ya kushangilia pamoja kucheza kwa jitihada kubwa kwenye game zote kubwa ukiacha derby ya kariakoo ya mwisho alijivunja kwa makusudi
Tutakumisi Baka varane beki la mpira wanalunyasi
Kila la kheri kaka..
 
Kevin

Mpiga Chabo
Jun 24, 2024
1
0
0
Beki kisiki wa Simba SC na DRC, Henock Inonga Baka ameondoka rasmi Simba SC baada ya kuitumikia Kwa muda wa misimu miwili

Utamkumbuka Kwa Lipi HENOCK INONGA Kwenye LIGI KUU YA Tanzania Bara?
Tutamkumbuka maana alikua ni mpambanaji wa timu yetu...
 
Lenin Vlad

Mpiga Chabo
Jun 20, 2024
3
0
0
Beki kisiki wa Simba SC na DRC, Henock Inonga Baka ameondoka rasmi Simba SC baada ya kuitumikia Kwa muda wa misimu miwili

Utamkumbuka Kwa Lipi HENOCK INONGA Kwenye LIGI KUU YA Tanzania Bara?
Uyu jamaa alitulinda na mayele maana tungekufaga kudadek