Utamkumbuka Kwa Lipi HENOCK INONGA Kwenye LIGI KUU Ya TANZANIA?

Jun 11, 2024
23
13
5
Admin leo umekula nini sio miwili ni misimu mitatu
Beki kisiki wa Simba SC na DRC, Henock Inonga Baka ameondoka rasmi Simba SC baada ya kuitumikia Kwa muda wa misimu miwili

Utamkumbuka Kwa Lipi HENOCK INONGA Kwenye LIGI KUU YA Tanzania Bara?
Tutamkumbuka kwa mengi mema yake alivoipambania nembo ya simba ila mwisho wa siku mpira ni matokeo na hii ni moja ya matokeo kwa mchezaji wetu na club yetu,aliweza kutoka congo akaja hapa ko sio mbaya tunamtakia safari njema maishani mwake mwa soka
 
lampard

Mpiga Chabo
Jun 24, 2024
1
0
0
Beki kisiki wa Simba SC na DRC, Henock Inonga Baka ameondoka rasmi Simba SC baada ya kuitumikia Kwa muda wa misimu miwili

Utamkumbuka Kwa Lipi HENOCK INONGA Kwenye LIGI KUU YA Tanzania Bara?
dah simba itampata wapi mbadala tusubir tuone
 
SararaOne

Mgeni
Jun 5, 2024
4
3
5
Beki moja mzuri sana huyu jamaa, alimkaba mayele mwaka Jana kwenye derby ya k/Koo, sema Leo hii wanamkataa kisa majeraha, hawajui kwamba atarudi kwenye ubora wake hivi karibuni
 
mwanajuma

Mpiga Chabo
Jun 24, 2024
1
0
0
Beki kisiki wa Simba SC na DRC, Henock Inonga Baka ameondoka rasmi Simba SC baada ya kuitumikia Kwa muda wa misimu miwili

Utamkumbuka Kwa Lipi HENOCK INONGA Kwenye LIGI KUU YA Tanzania Bara?
Kwenye ushindi wa goli 2 dhidi ya yanga alipofunga na kuwachapa
 
onyangi

Mpiga Chabo
Jun 20, 2024
1
0
0
Jaamaa alikuwa anazingua akipenda sana kucheza na jukwaa.kwa ufupi alikuwa na sifa sana.mwana kwenda nenda salama
 
Meddy tz

Mpiga Chabo
Jun 24, 2024
1
0
0
Beki kisiki wa Simba SC na DRC, Henock Inonga Baka ameondoka rasmi Simba SC baada ya kuitumikia Kwa muda wa misimu miwili

Utamkumbuka Kwa Lipi HENOCK INONGA Kwenye LIGI KUU YA Tanzania Bara?
Alikuwa beki mzuri ila aliharibu mwishooon kabisa
 
William John

Mpiga Chabo
Jun 25, 2024
1
0
0
Anajua kucheza mpira anajua kufanya maamzi sahihi wakt sahihi n imara sana kucheza na jukwaa na mzuri kucheza mpira ya juu shida yake. Alijiinua kuwa mkubwa akawasahau walio mfanya kuwa mkubwa hapo binafs tumsifu wakt wote tuliokuwa nae lakn ukwel tusifiche baada ya mayere kuhama bongo enonga aliichukia bongo Tena kwahyo nafsi PEKEE ni kutafta mrisho sehem nyingine Asante mzee wa mishare🙏🙏🙏
 
Kulwakemaha

Mpiga Chabo
Jun 22, 2024
1
0
0
Beki kisiki wa Simba SC na DRC, Henock Inonga Baka ameondoka rasmi Simba SC baada ya kuitumikia Kwa muda wa misimu miwili

Utamkumbuka Kwa Lipi HENOCK INONGA Kwenye LIGI KUU YA Tanzania Bara?
Nitamkumbuka kwa kuchomewa Mechi zidi ya Prisons