WanaKIJIWENI Kwa Kauli Hii Mna Lipi La Kumshauri ISRAH MWENDA Kama Watu Wa Boli?

Hammy36

Guest
Jan 17, 2023
63
61
25
Dar Es Salaam
Baada ya sakata lake la usajili ambalo linaendelea kutokota katika mitandao ya kijamii ISRAH MWENDA anasema

"Nipo kwenye mchakato wa kuvunja mkataba, nyie subirini mtapata taarifa, Singida wapo nje ya makubaliano tuliyokubaliana. Mpira wetu una changamoto sana. Halafu baadae utasikia wazawa wana matatizo"

"Nitaenda wapi sababu dirisha limefungwa? Hela niliyonayo inanitosha kuishi hata misimu minne bila kucheza mpira, kiufupi ni kwamba sina timu"
WanaKIJIWENI Kwa Kauli Hii Mna Lipi La Kumshauri ISRAH MWENDA Kama Watu Wa Boli?
 
Jr 097

Mgeni
Jun 21, 2024
11
4
5
Sjui tumlaumu yy, sjui tuilaumu management yake, sjui tuilaumu SINGIDA B.S

Lkn kwa kauli ya jana ya Singida Big stars kama n kweli bhas kijana hana management yny nia nzur na yy.... kwa vile nlvosoma ile taarifa ya Singida B.S nahc lilikuwa limebaki suala la Management yake na Singida B.S na alitakiwa awe kambini ili kulinda kipaji chake....

Anyway alisema anatoka SIMBA kutafta changamoto mpya.... karbu ktk ulimwengu wa changamoto our kijana ila kitaan kugumu hzo hela unazojidai nazo kuna wengne wanaztumia kijiwen tu znaisha
 
Mc Paul@Kusekwa

Mpiga Chabo
Aug 31, 2024
2
0
0
Sawa dogo ana hela za kutosha kula hata asipofanya kazi, lakini je ametafakari mustakabali wa kipaji chake......anyway tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini
 
papy_calpto

Mpiga Chabo
Sep 3, 2024
2
0
0
Baada ya sakata lake la usajili ambalo linaendelea kutokota katika mitandao ya kijamii ISRAH MWENDA anasema

"Nipo kwenye mchakato wa kuvunja mkataba, nyie subirini mtapata taarifa, Singida wapo nje ya makubaliano tuliyokubaliana. Mpira wetu una changamoto sana. Halafu baadae utasikia wazawa wana matatizo"

"Nitaenda wapi sababu dirisha limefungwa? Hela niliyonayo inanitosha kuishi hata misimu minne bila kucheza mpira, kiufupi ni kwamba sina timu"
WanaKIJIWENI Kwa Kauli Hii Mna Lipi La Kumshauri ISRAH MWENDA Kama Watu Wa Boli?
Shida ya wachezaj wa kibongo huwa wanakulupuka kufanya maamuz wanafanya vitu bila kufikiria madhara yak wanasahau kuna faida na hasara zake
 
jully@2005

Mpiga Chabo
Aug 12, 2024
6
0
0
Baada ya sakata lake la usajili ambalo linaendelea kutokota katika mitandao ya kijamii ISRAH MWENDA anasema

"Nipo kwenye mchakato wa kuvunja mkataba, nyie subirini mtapata taarifa, Singida wapo nje ya makubaliano tuliyokubaliana. Mpira wetu una changamoto sana. Halafu baadae utasikia wazawa wana matatizo"

"Nitaenda wapi sababu dirisha limefungwa? Hela niliyonayo inanitosha kuishi hata misimu minne bila kucheza mpira, kiufupi ni kwamba sina timu"
WanaKIJIWENI Kwa Kauli Hii Mna Lipi La Kumshauri ISRAH MWENDA Kama Watu Wa Boli?
Sambaratisha moyo wangu
 
SNAZY Gasper

Mgeni
Sep 3, 2024
14
9
5
Israel mwenda Yuko sawa kabisa maana kama Kuna timu inamuona yeye ni lulu lazima aende akapambane tofauti na huu upande alipo anaonekana Kama wa kawaida ISRAEL Bora aende tu na Yuko sawa kabisa katika hilo by iamsnazygram
 
modarich

Mpiga Chabo
Jul 5, 2024
6
0
0
kutoka simba lilikua ni jambo zuri ili kulinda kipaji chake na karia yake hila shida kubwa ni management yake kutokuwa na maamuzi sahihi wakati sahihi kwann nimesema haya,

management hasa kwa wachezaji wa kulipwa ndiyo muhimili na kioo cha mchezaji, 99% ya maamuzi ya wachezaji uhamuliwa na management yake na ata hofa utafutwa na management yake so management ya mchezaji ndiyo inahusika na kila kitu kwa mchezaji than mchezaji anaenda kutimiza wajibu wake wa kimkataba kwenye pitch.

kwahyo kosa siyo la mchezaji bali ni management yake kutokuwa na msimamo ndani ya mdaa sahihi
 
Rhino

Mgeni
May 8, 2024
10
1
5
Baada ya sakata lake la usajili ambalo linaendelea kutokota katika mitandao ya kijamii ISRAH MWENDA anasema

"Nipo kwenye mchakato wa kuvunja mkataba, nyie subirini mtapata taarifa, Singida wapo nje ya makubaliano tuliyokubaliana. Mpira wetu una changamoto sana. Halafu baadae utasikia wazawa wana matatizo"

"Nitaenda wapi sababu dirisha limefungwa? Hela niliyonayo inanitosha kuishi hata misimu minne bila kucheza mpira, kiufupi ni kwamba sina timu"
WanaKIJIWENI Kwa Kauli Hii Mna Lipi La Kumshauri ISRAH MWENDA Kama Watu Wa Boli?
Ni bora abakie ale mshahara huo mdogo hata aspocheza Lakin afanye mazoezi alinde kipaji