Yanga Kuachana Na GAMONDI Una Lipi La Kuzungumza Mwana KIJIWENI?

Charlez

Mpiga Chabo
Nov 15, 2024
1
0
0
Yanga Gamondi wamemuonea tu! Timu kama ni mbovu ni mbovu tu wachezaji wenyewe walishindwa kutumia nafasi.
 
kimsure

Mpiga Chabo
Oct 25, 2024
2
0
0
Kaonewa..yani kilichomfukuzish ni maneno ya wanasimba ...
Uongoz wa yanga nawo bila kufikilia mbali kwamba ni mchezo wa simba kuwavuluga...bado hawajashituka tu..mpk wamemtimua gamond
Manala aliwai sema pale yanga chenga nyingi kichwani
 
Njwinjwi

Mpiga Chabo
Nov 8, 2024
4
0
0
Kaonewa..yani kilichomfukuzish ni maneno ya wanasimba ...
Uongoz wa yanga nawo bila kufikilia mbali kwamba ni mchezo wa simba kuwavuluga...bado hawajashituka tu..mpk wamemtimua gamond
kaka wanasimba gani wkat nyie wenyew mlikua masemana wenyw kwa wnyw😂
 
Njwinjwi

Mpiga Chabo
Nov 8, 2024
4
0
0
Hii leo klabu ya soka ya Yanga imetangaza kuvunja mkataba na kocha mkuu wa kikosi cha kwanza Angel Miguel Gamondi pamoja na kusitisha mkataba na kocha msaidizi wa kikosi cha kwanza Moussa Ndaw huku wakisema kuwa TAYARI mchakato wa kutafuta makocha wapya wa kikosi cha kwanza umeanza na unatarajiwa kukamilika hivi punde.

Yanga Kuachana Na GAMONDI Una Lipi La Kuzungumza Mwana KIJIWENI?
Hii safari ni ndefu asee😂😂😂
wametimua kocha kipindi kigumu sana, keshokutwa tu apo ana mechi ya kimataifa na anategemea kufuzu…sawa😂
kiukweli mm hili nililiona mwanzoni tu mwa msimu, yanga walianza vibaya, mm nafkiri kosa na suala zima apa ni wachezaji binafsi na sio kocha, mana karibu game zote wanawin mchezo, wanapiga pasi nyingi, possession kubwa lakn matokeo hakuna
Point ni kwamba hawa wamechagua kua na wakat mgumu kwa kpnd hk japo mpira unabadilika
 
Champion_

Mgeni
Sep 4, 2024
7
1
5
Daah this country is not fair, yaan koch kaendlez pal pal alpoikut yang kaipelek ckub bngw na kuifkish robo na ametok kw penalt mbel ya mamelodi amezngua game 2 t wamemfkuz. Hii dhamb yang itawatafun ck nyng zjazo. Enewei cc tunafrah wanavotesek😂😂
 
hamisa

Mpiga Chabo
Nov 10, 2024
10

Nawaonea hurumaa sana nyie watu
 
hamisa

Mpiga Chabo
Nov 10, 2024
10
0
0
Hii safari ni ndefu asee😂😂😂
wametimua kocha kipindi kigumu sana, keshokutwa tu apo ana mechi ya kimataifa na anategemea kufuzu…sawa😂
kiukweli mm hili nililiona mwanzoni tu mwa msimu, yanga walianza vibaya, mm nafkiri kosa na suala zima apa ni wachezaji binafsi na sio kocha, mana karibu game zote wanawin mchezo, wanapiga pasi nyingi, possession kubwa lakn matokeo hakuna
Point ni kwamba hawa wamechagua kua na wakat mgumu kwa kpnd hk japo mpira unabadilika
An kila anaecomment ni mshabiki wa simba sifikil kama uongoz wote wa yanga hawana akil had wawafukuze makocha
 
hamisa

Mpiga Chabo
Nov 10, 2024
10
0
0
Kocha mzururaj hazingatii kaz yake anakuja tu kuzurura zanzibar bora kaenda kwanza pia Nina hasira nae