Nidhamu ni aspect ya muhimu zaidi katika kazi yoyote,all the best Miguel... You are the best but keep it going...
Manala aliwai sema pale yanga chenga nyingi kichwaniKaonewa..yani kilichomfukuzish ni maneno ya wanasimba ...
Uongoz wa yanga nawo bila kufikilia mbali kwamba ni mchezo wa simba kuwavuluga...bado hawajashituka tu..mpk wamemtimua gamond
kaka wanasimba gani wkat nyie wenyew mlikua masemana wenyw kwa wnywKaonewa..yani kilichomfukuzish ni maneno ya wanasimba ...
Uongoz wa yanga nawo bila kufikilia mbali kwamba ni mchezo wa simba kuwavuluga...bado hawajashituka tu..mpk wamemtimua gamond
Hii safari ni ndefu aseeHii leo klabu ya soka ya Yanga imetangaza kuvunja mkataba na kocha mkuu wa kikosi cha kwanza Angel Miguel Gamondi pamoja na kusitisha mkataba na kocha msaidizi wa kikosi cha kwanza Moussa Ndaw huku wakisema kuwa TAYARI mchakato wa kutafuta makocha wapya wa kikosi cha kwanza umeanza na unatarajiwa kukamilika hivi punde.
Yanga Kuachana Na GAMONDI Una Lipi La Kuzungumza Mwana KIJIWENI?
Kaa kimya wewe Wana maana yaoTeam gan isiyofungwa kwa mtu wa mpira haikupaswa kufanya hivy kamwe nahisi watapotea zaid ya hapo
Nawaonea hurumaa sana nyie watuDaah this country is not fair, yaan koch kaendlez pal pal alpoikut yang kaipelek ckub bngw na kuifkish robo na ametok kw penalt mbel ya mamelodi amezngua game 2 t wamemfkuz. Hii dhamb yang itawatafun ck nyng zjazo. Enewei cc tunafrah wanavotesek
An kila anaecomment ni mshabiki wa simba sifikil kama uongoz wote wa yanga hawana akil had wawafukuze makochaHii safari ni ndefu asee
wametimua kocha kipindi kigumu sana, keshokutwa tu apo ana mechi ya kimataifa na anategemea kufuzu…sawa
kiukweli mm hili nililiona mwanzoni tu mwa msimu, yanga walianza vibaya, mm nafkiri kosa na suala zima apa ni wachezaji binafsi na sio kocha, mana karibu game zote wanawin mchezo, wanapiga pasi nyingi, possession kubwa lakn matokeo hakuna
Point ni kwamba hawa wamechagua kua na wakat mgumu kwa kpnd hk japo mpira unabadilika
Acha nikae kimyaIla yangaa kupigwa kidogo tu tayali kucha kweheli hayaa badoo aziziki ila hamisaa
Msibashiri t tulieni basiiiTeam gan isiyofungwa kwa mtu wa mpira haikupaswa kufanya hivy kamwe nahisi watapotea zaid ya hapo