Yanga Kuachana Na GAMONDI Una Lipi La Kuzungumza Mwana KIJIWENI?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
484
641
125
Hii leo klabu ya soka ya Yanga imetangaza kuvunja mkataba na kocha mkuu wa kikosi cha kwanza Angel Miguel Gamondi pamoja na kusitisha mkataba na kocha msaidizi wa kikosi cha kwanza Moussa Ndaw huku wakisema kuwa TAYARI mchakato wa kutafuta makocha wapya wa kikosi cha kwanza umeanza na unatarajiwa kukamilika hivi punde.

Yanga Kuachana Na GAMONDI Una Lipi La Kuzungumza Mwana KIJIWENI?
 
  • Like
Reactions: Daniel_Makala

First bone

Mpiga Chabo
Nov 13, 2024
2
0
0
Hii leo klabu ya soka ya Yanga imetangaza kuvunja mkataba na kocha mkuu wa kikosi cha kwanza Angel Miguel Gamondi pamoja na kusitisha mkataba na kocha msaidizi wa kikosi cha kwanza Moussa Ndaw huku wakisema kuwa TAYARI mchakato wa kutafuta makocha wapya wa kikosi cha kwanza umeanza na unatarajiwa kukamilika hivi punde.

Yanga Kuachana Na GAMONDI Una Lipi La Kuzungumza Mwana KIJIWENI?
Kaonewa..yani kilichomfukuzish ni maneno ya wanasimba ...
Uongoz wa yanga nawo bila kufikilia mbali kwamba ni mchezo wa simba kuwavuluga...bado hawajashituka tu..mpk wamemtimua gamond
 

MBEYA BOI

Mgeni
Oct 19, 2024
8
2
5
Kwhyo kufungwa mechi 2 tu ndio imekua shida kwa nn wasinge mfukuza toka mwanzoni kiukweli hawaja mtendea haki hyu mzee .ila kunao maneno aliwahi kuongea Mwnyi zahela kuhusiana na makocha wageni !!!!!
 
Nov 15, 2024
2
0
0
Mimi Nadhani Viongozi Wa Young African Sport Club Upo Sahii Timu Imekamilika Kila Mahali Viongozi Wamempatia kila kitu Kocha Ila Ameshindwa Kuinufaisha club Husika Kufungwa Sio Kitu Kigeni Kwenye Mpira wa miguu lakini pia unaangalia Umefungwaje Kuna Baadhi Ya Maamuzi Yake Husikia Yamemgalimu Mwalimu Na Timu Kwa Ujumla Kuna Baadhi Ya Wachezaji Hana Maelewano Nao Kwa Utashi Wake Tuu Yanga imeenea kila Nafasi Kikosi tuu Cha Akiba Unaweza Kuunda Timu Nyingine na Ikatoa Ushindani katika Nafasi Tatu za msimamo wa NBC PRIMER
 

Eddy de Jr

Mgeni
May 9, 2024
91
16
5
Hii ndo tofauti ya Ulaya na Afrika. Yanga wamekurupuka kuachana na Gamondi. Walitakiwa kumpa hata mechi mbili,,,Huko England MAN CITY kafungwa mechi nne in a row but still wako na imani naye. Huku ndo kufanya mambo kwa mihemko na hisia kuliko UHALISIA.Watapotena kabisa,,,but ndo tabia ya maisha kupanda na kushuka na lolote kati ya hayo yakitokea ni UMEJICHAGULIA MWENYEWE au UMELAZIMIKA KUWA HIVO. Ndo nature ya maisha hiyo,,,poleni watani.
 

ash'khan

Mpiga Chabo
Nov 15, 2024
1
0
0
Nadhani yanga wapo sahihi kwa kuwa wao hawajaangalia mechi mbili tuu nadhani wameangalia tokea msimu huu uanze yanga imekuwa ni yakuonyesha performance mbovu mfano msimu ulio pita master ki ndani ya mechi 10 alikuwa na goli 7 lakini msimuu huu mechi hizo hizo kumi anagoli 1 tuu nihalali aondoke akatafute changamoto sehemu nyingine
 

Enck Jr

Mgeni
Oct 22, 2024
21
1
5
Singida
Alistaili tyu kifukuzwa maan alishaanza kuzingia siku mingi tyu chama max na pacome wanatakiwa kuchez kwa pamja ili kupat matokeo yakuludhisha ndo maan kafukuzwa kakosea sub zake tyu za ajabu Ahsant kwa mchango wako gamondi na Kila la kheri katik maisha Yako ya kishoka huko undakoo