Yanga vs Namungo ilikuwa ni routine win kwa Yanga

Kriss

Mgeni
Nov 4, 2022
102
138
5
Yanga vs Namungo ilikuwa ni routine win kwa Yanga, Nabi aliswitch kutumia 4-2-3-1 kutoka 4-4-2 aliyotumia vs Ruvu Shooting na kuonekana haina impact.

Namungo walikuwa wanategemea zaidi Wingers wao , kuwaachia Yanga kukaa na mpira halafu wafanye mashambulizi ya kushtukiza, ila uimara wa backline ya Job,Djuma,Bangala na Kibwana ilikuwa tight sana na kuwazima.


Aziz Ki anazidi kukolea kwenye mfumo wa Nabi, Sasa Yanga inahitaji wingers wake waanze ku deliver 100% ili tuweze ku create chances nyingi zaidi
 
  • Like
Reactions: Rashidi and Lukac

jamal

Mgeni
Nov 4, 2022
148
90
5
Hongera kwa ushindi mtani. Nimeamini uko serious na hili Kombe. Inabidi nijipange kukubndua tu tukikutana
 

kamakawa

Mgeni
Nov 4, 2022
60
57
5
Good Job wachezaji wanapambana nasi tunaona kocha anaweka mipango mizuri nasi tunaona viva yanga viva VIVAAAAA fukuza morrishidaso
 

Lukac

Mgeni
Nov 4, 2022
120
83
5
Yanga don't create enough clear goal scoring chances in ( open play ) to my liking and still their decision making in the final third is atrocious.
 

Rashidi

Mgeni
Dec 13, 2022
56
40
5
Kwanza hongereni sana kwa ushindi wa. Kwenyeushauri nawashauri ongezeni umakini na hari ya kupambania timu,,isiwe ni wanaopambana ni fulani na fulani watafuteni wanasaikolojia ili wawape kitu wachezaji moraliyao iruditena.