Yupi Mchambuzi Wako Bora Wa Mpira Wa Miguu Tanzania? Ukikutana Nae Utamshauri Nini?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
489
643
125
Hatukatai kwamba mpira wa miguu Tanzania umekua na wachambuzi wengi wa soka ambao kwa namna moja au nyingine wamekua wakinogesha na kutufafanulia mambo mengi ambayo yanahusu mpira wa miguu wa Tanzania na nje ya Tanzania

Wewe mwana Kijiweni Yupi Mchambuzi Wako Bora Wa Mpira Wa Miguu Tanzania? Ukikutana Nae Utamshauri Nini?
 
  • Like
Reactions: Lucas Elias

revic

Mpiga Chabo
Sep 6, 2024
3
0
0
George Ambangile wengine wababaishaji anajua kuchambua mpira hakuna mwingine zaidi ya hapo
 
KLOPPKILLETE

Mgeni
Sep 1, 2024
3
1
5
Hatukatai kwamba mpira wa miguu Tanzania umekua na wachambuzi wengi wa soka ambao kwa namna moja au nyingine wamekua wakinogesha na kutufafanulia mambo mengi ambayo yanahusu mpira wa miguu wa Tanzania na nje ya Tanzania

Wewe mwana Kijiweni Yupi Mchambuzi Wako Bora Wa Mpira Wa Miguu Tanzania? Ukikutana Nae Utamshauri Nini?
Unamjua Ramadhan Mbwaduke wewe mzee wa takwimu 😂
 
maestro saviola

Mpiga Chabo
Sep 6, 2024
1
0
0
Hatukatai kwamba mpira wa miguu Tanzania umekua na wachambuzi wengi wa soka ambao kwa namna moja au nyingine wamekua wakinogesha na kutufafanulia mambo mengi ambayo yanahusu mpira wa miguu wa Tanzania na nje ya Tanzania

Wewe mwana Kijiweni Yupi Mchambuzi Wako Bora Wa Mpira Wa Miguu Tanzania? Ukikutana Nae Utamshauri Nini?
Amri kiemba master
 
Pacho jr17

Mpiga Chabo
Sep 6, 2024
2
0
0
Hatukatai kwamba mpira wa miguu Tanzania umekua na wachambuzi wengi wa soka ambao kwa namna moja au nyingine wamekua wakinogesha na kutufafanulia mambo mengi ambayo yanahusu mpira wa miguu wa Tanzania na nje ya Tanzania

Wewe mwana Kijiweni Yupi Mchambuzi Wako Bora Wa Mpira Wa Miguu Tanzania? Ukikutana Nae Utamshauri Nini?
Daah kuna yule mmja anaitwa khatibuh wa wasafi tu watu hawamsikilizagi japo!