Yupi Ni Mchezaji Muhimu Sana Kwenye Timu Unayoshabikia?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
281
396
25
Mambo vipi mwana Kijiweni? Bila shaka utakua na timu yako ambayo unaishabikia hapa Ligi Kuu ya NBC na hatukatai kuwa kwenye hiyo timu wachezaji wote ni muhimu lakini kwako wewe unadhani Yupi Ni Mchezaji Muhimu Sana Kwenye Timu Unayoshabikia? yaani akikosekana huyo unajua kabisa leo kazi tunayo
 
hassan kasambula

Mpiga Chabo
Sep 17, 2024
1
0

mimi ni shabiki wa yanga mchezaji ninayekubali sana pale jangwani ni paccome
 
site boy

Mpiga Chabo
Sep 17, 2024
1
0
0
Mambo vipi mwana Kijiweni? Bila shaka utakua na timu yako ambayo unaishabikia hapa Ligi Kuu ya NBC na hatukatai kuwa kwenye hiyo timu wachezaji wote ni muhimu lakini kwako wewe unadhani Yupi Ni Mchezaji Muhimu Sana Kwenye Timu Unayoshabikia? yaani akikosekana huyo unajua kabisa leo kazi tunayo
Baka
 
Simon Donald

Mpiga Chabo
Sep 18, 2024
2

Kwa timu yangu ya YANGA mchezaji Bora ni DGDIARA