Mambo vipi mwana Kijiweni? Bila shaka utakua na timu yako ambayo unaishabikia hapa Ligi Kuu ya NBC na hatukatai kuwa kwenye hiyo timu wachezaji wote ni muhimu lakini kwako wewe unadhani Yupi Ni Mchezaji Muhimu Sana Kwenye Timu Unayoshabikia? yaani akikosekana huyo unajua kabisa leo kazi tunayo