Wana kijiweni mnaendeleaje? Nina swali kidogo=kwanini timu za bongo zinapokezana kila kitu mfano ubingwa,ubora wa timu,ubora wa wachezaji? na timu itakayokuwa vzr sana ndio itwae kila tunzo?? Mambo haya yapo toka muda sana sasa kwanini iwe hivo
UVUMILIVU
Watu mara nyingi wanahitaji kuwa wepesi zaidi kutabiri mechi. Ni makosa kuharakisha uchambuzi wako kabla ya kuweka dau kwani uwezekano wa kupoteza ni mkubwa...
Badala yake, jaribu kuwa mvumilivu iwezekanavyo kwa kutafuta uwezekano mzuri na kusikiliza silika yako h