Ujumbe wa wanachama

Wadau hizi bado hamuamini mabara ni mtu wa muhimu sana kwenye soka letu kma uamini angalia hii ishu ya kubadili uwanja wa kuchezea fainal ya CRDB CONFEDERSTION baada ya yy kupost na ndio tff wakatilia manani manara ni mtu wa maana kbsa
Hello Admn naomba kujua hili jukwaa naruhusiwa kupost stori au mi admn tu anafanya hivyo
Kijiweni
Kijiweni
Habari Mdau Wa Kijiweni... Unaruhusiwa kupost mijadala ambayo watu watajadiliana katika Kijiwe Husika pekee. Kuhusu stori wasiliana na mhariri editor@kijiweni.co.tz
kibu denis ili apate mafanikio mazur n bora asiongeze mkataba na simba😁😁
𝐌𝐚𝐧𝐜𝐡𝐞𝐬𝐭𝐞𝐫,𝐄𝐧𝐠𝐥𝐚𝐧𝐝
Manchester United tayari imefanikiwa kuwaongezea kandarasi wachezaji wao Marcus Rashford, Diogo Dalot, Fred huku pia wakiangalia uwezekano wa kumsajili mshambuliaji wa PSV raia wa Uholanzi, Cody Gapko katika kipindi hiki cha dirisha dogo